Inyeshe mvua sasa hapo!
heeee!!!!!!! umeomba uende chooni ukapga pcha na choo chetu!!!!!!!!!!! teh teh teh!!!!
Hii inaonesha uswazi watu hawamaindi sana kwenda misalani kama huko kwenu. Kwanza huku choo utakitoa wapi wakati msosi wenyewe rakaa moja kwa siku, nyinyi mnaokula kama mchwa choo mnakipamba hata chumba cha kulala cha uswazi kimesingiziwa.
Ngoja nitafakari kwanza jinsi ya kuingia, hakuna nyoka kweli humu?