Uswahilini maisha ni adventure kila siku

Pia uswahilini usipime kwa kupiga deo, baba zima mke na watoto na wajukuu wanakaa nyumba moja, usiku baba anaenda kwa jirani kuchungulia wakifanya matusi

Napita maeneo ya shule ya msingi Tandale Magharibi, foleni ni ndefu na magari hayatembei, barabara imejaa kundi la kina mama wakiongozwa na kundi la matarumbeta eti wanaenda kumsuta mwanamke mmoja amepora bwana wao Magomeni na Kamtuliza maeneo ya Switi Kona.

hii ndio raha ya uswazi

Inaelekea ulipitishwa mchango kabisa hapa

jamani kweli uswahilini kuna vituko. Sikumoja nilimtembelea dada huku Buguruni, dada huwa anakuitaga Bugz. Akaninunulia kitimoto. Mara kikaja kitoto cha jirani, kidoezi sana. Dada akamimina pilipili nyingi sana kwenye msosi hadi tukawa tunatokwa na machozi kwa kuwashwa, kale katoto kakawa kanakula harakaharaka, halafu kakaomba kama kuna pilipili imebaki tuongeze kwenye msosi. Yaani nilikoma mwenyewe

Hii kali ya mwaka, yaani mtoto anakula pilipili na bado anaomba iongezwe?

Tiba

Napita maeneo ya shule ya msingi Tandale Magharibi, foleni ni ndefu na magari hayatembei, barabara imejaa kundi la kina mama wakiongozwa na kundi la matarumbeta eti wanaenda kumsuta mwanamke mmoja amepora bwana wao Magomeni na Kamtuliza maeneo ya Switi Kona.

Jamani nimecheka kama zuzu.. ah duniani kuna mambo matarumbeta hadi kwenye kusutana? je kwenye harusi wapiga honi ya meli au? waswahili noma jamani

Jamani leo hatujalala mtaani, na swaumu zetu jirani karindimisha taarab usiku kucha, kisa eti mwanae kavunja ungo.
Dah

Jamani kuna usemi kuishi uswahilini gharama. Kwa mfano unaweza pigwa kipapai kisa umeonekana unamwaga maganda ya mayai eti unawaonyeshea, au usiku hulali vizuri vibaka wanaweza kata waya na kukuibia kwa ndoano. Hapo ukiachia kutokuwa na mifereji ya Maji machafu unaweza pata kipindupindu pamoja na hii ya sasa kusutwa watu wameacha kazi zao.Mwazo yangu.

Hayo mambo ya kwenda kumsuta mtu uswaz mbona ni mambo ya kawaida sana. Tena kuna watu wapo full matarumbeta na mavuvuzela ndio kazi yao. Unawakodisha kwa elfu 50 na wako tayari kutoka tandika hadi mwananyamala kwenda kupiga kazi. Hiyo ndio life ya uswaz!

Hii ni mojawapo wa ahadi za JK kwenye ajira....sekta isiyo rasmi!

jamani kweli uswahilini kuna vituko. Sikumoja nilimtembelea dada huku Buguruni, dada huwa anakuitaga Bugz. Akaninunulia kitimoto. Mara kikaja kitoto cha jirani, kidoezi sana. Dada akamimina pilipili nyingi sana kwenye msosi hadi tukawa tunatokwa na machozi kwa kuwashwa, kale katoto kakawa kanakula harakaharaka, halafu kakaomba kama kuna pilipili imebaki tuongeze kwenye msosi. Yaani nilikoma mwenyewe

Kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anaishi Msasani. Sasa siku moja kanunua kuku wa kienyeji. Alipofika kwake akapiga mahesabu kwamba majirani lazima watataka awagie akishampika. Jamaa akapiga hesabu za jinsi ya kuwanyima akagundua kwamba wapangaji wenzie wote ni waislamu na yeye ni mkristo. Basi alichofanya yule kuku akamchinja yeye mwenyewe. Kwa hiyo wapangaji wenzie wakashindwa kumuomba kwa kuwa hajachinjwa na mwislamu. Uswazi kweli kuna vituko!

leo naletewa taarifa eti kuna mtu kagombana na mumewe usiku uliopita, leo asubuhi kalimwagia godoro maji kisha kalitoa nje anadai eti mumewe ni kikojozi.

jamaa kamuuliza demu "je una una nafasi nikupeleke kwenye pedicure?"
demu akawaza weee, baada ya dakika nzima akajibu pedi ya nini wakati siko kwenye siku zangu?

jamaa kamuuliza demu "je una una nafasi nikupeleke kwenye pedicure?"

demu akawaza weee, baada ya dakika nzima akajibu pedi ya nini wakati siko kwenye siku zangu?

heee hiii kali..... Mademu wa kiswazi ni big soo

hapa mtaani kwetu kuna kiroja kimetokea usiku wa kiuamkia leo. Jamaa wana kikundi chao cha kupiga chabo, kazi yao ni kuzunguka kwenye magesti na kuangalia watu wakipekenyuana.
Sasa kuna gesti wakawa wameenda, jamaa akawa wa kwanza kupiga chabo, wenzake wakawa wanataka na wao waone kinachojiri.
Jamaa akawa mkali kwelikweli akiwakatalia wenzake wasione.
Mmoja wao akamuuliza kwanini hutupishi? Jamaa alkajibu ahh noma wana mama yuko humu ndani.

Back
Top Bottom