Uswahilini kuna wasichana wazuri sana

Dont be defensive, Great thinkers ni wanaosoma na wanaoandika, sio wanaoandika tu. Kwani nimefuata nini huku, nasoma ndiyo. Ya kuchekesha nacheka, ya kushangaa nashangaa, ya kujifunza najifunza, halafu napita. Na mimi nipo holiday

Umeanza kurekebisha hali ya hewa sasa
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
 
He hehehehe
Utasikia "naomba nitafutie rylics za wimbo wa La-Tromenta kulaleki.
Mkuu nakumbuka nilipokuwa naishi maeneo ya Namanga (kuna kauswazi fulani pale), kulikuwa na kabinti kanakuja kunitembelea hakajavaa chupi walah ilikuwa shughuli fastafasta bila presha.

Kitu kingine kuhusu Uswazi ni kwamba unaweza kumuomba kaka mtu akuitie dada yake bila hiyana cha msingi wewe uwe mshkaji na unamtoa kiaina.

Yule wa Mailmoja nilistuliwa na washakaji kuwa mama yake ni bandidu kinoma kwa watoto wake wa kike na washkaji wamekosa utamu kwa dada zake hivyo walivyoniona mie nateta na bi mkubwa bila zengwe halafu naondoka na zigo kilaiiin waliona soni kinoma. Ila nimeogopa lakini najitutumua kiume kuendeleza libeneke
dah!mkuu wewe umeinjoi sana matunda ya uswazi!....infact kama kuna dalali wa kiwalani naomba ani-piemu nitafutiwe chumba huko
 
Unajisahau sasa u have 4/5 wks to go.
 
sema umetolewa nje na binti wa uswazi halafu leo umeamkia chapati kwa serengeti bariiid then umeshaanza kukupalia unatuchafulia hewa sasa

Hivi nini maana ya Great Thinkers? na wapo wapi humu JF au wanaongelea nini? Katika Jukwaa la siasa tu au? Kwanini unahisi umekosolewa kwa kuitwa Great Thinker mahali hapa au katika thread hii? Kuna limitations zozote za Thinking, kwamba mpaka uwe unafikiria hiki au kile ndiyo uwe Great Thinker? I dont think so. Sentensi yangu haina ubaya, labda kama pwenti zimeisha.
Lets proceed....
 
ushawahi kuonja kabinti ka uswazi wewe?
 
ushawahi kuonja kabinti ka uswazi wewe?
achana nae huyo!ana frustration za UFISADI,DOWANS,E.P.A n.k!sisi tuliowaonja watoto wa uswazi akaaaaaaaaaaaa!wanaoweza kukwapua mahela wakwapue tu!ili mradi nauli ya kiwalani/maili moja ipo,na hela ya gesti ipo HAINA MBAYA:D
 
dah!mkuu wewe umeinjoi sana matunda ya uswazi!....infact kama kuna dalali wa kiwalani naomba ani-piemu nitafutiwe chumba huko
hehehehe shekhe hawahitaji kupangiwa vyumba hao. unaingia nae gesti yoyote (siku hizi huduma ni bora) unalipa buku kadhaa halafu unamaliza bila kuacha trace. na kibaya zaidi ukimpenda mmoja unaweza kujilaumu akitokea mwingine.
 
NILIDHANI ningepata chumba kimoja uswazi,halafu nikakifanya CHINJIO!i think nasomeka hapo:D
 
Hii thread ya leo imekaa kiume zaidi wanaojadili pia ni wanaume kwa wingi (labda kama kuna kadada kanajifanya mwanaume aanze kusifia wasichana wa usswaz nitamuona wa ajabu). Inafurahisha lakini sana tu ingawa siezi eka komenti yoyote;)
 
kwa hiyo watoto wa uswaazi na wewe unawakubali?????:D
 
wewe wa wapi USWAZI au ndio MAIKOCHENI??
 
kwa hiyo watoto wa uswaazi na wewe unawakubali?????:D

Wa uswaz wa kiume au wa kike??kwa wakike kwa kweli huwa ni warembo kwa muonekano wa nje naouona mie ndani sijui ndo napata hapa kwa wachangiaji

Wa kiume sijabahatika kukutana nao katika mishemishe......
icon10.gif
 
NILIDHANI ningepata chumba kimoja uswazi,halafu nikakifanya CHINJIO!i think nasomeka hapo:D
FIDEL mzee wa machinjion najua atakuja na jibu au mtumie PM akupatie dalali wa kiwalani.
ungesema manzese au mabibo ningekusakia mtaala wa vyumba vya uani akutafutie huko.

Lakini jihadhari usisahau ndom hasa za vidonge kama za kawaida hazivaliki.

Natamani Xmass ingesonga japo two more days ili nirudi uswazi kale kabinti bwana we acha tu. Unakapiga bao kanaita jina lako kimahaba Dah yaani unaamua kujiibia mwenyewe na kumkabidhi zoooote mfukoni ah we acha tu
 
Hii thread ya leo imekaa kiume zaidi wanaojadili pia ni wanaume kwa wingi (labda kama kuna kadada kanajifanya mwanaume aanze kusifia wasichana wa usswaz nitamuona wa ajabu). Inafurahisha lakini sana tu ingawa siezi eka komenti yoyote;)

JS vipi mama mbona umeingia kwa mikwara? wewe wa wapi? na kwa nini hupendi wasifiwe wa uswazi?
 
Ahaaaa si hivyo Nguli yani dada wa JF ajidai ni kaka hususan kwa thread hii aanze kumwaga misifa kwa msichana wa uswaz kama mnavyosifia hapa jamvini ndo nitamshangaa unless hormones zake zimekaa kinanihiii (si unanipata)????
 
Wa uswaz wa kiume au wa kike??kwa wakike kwa kweli huwa ni warembo kwa muonekano wa nje naouona mie ndani sijui ndo napata hapa kwa wachangiaji

Wa kiume sijabahatika kukutana nao katika mishemishe......
icon10.gif
NAOMBA unipi-emu,unajua mimi mwenyewe ''wa uswazi''unaweza come up na kitu kizuri sana kwa faida yako ya ''uelewa'':D
 
FIDEL mzee wa machinjion najua atakuja na jibu au mtumie PM akupatie dalali wa kiwalani.
ungesema manzese au mabibo ningekusakia mtaala wa vyumba vya uani akutafutie huko.

Lakini jihadhari usisahau ndom hasa za vidonge kama za kawaida hazivaliki.

Natamani Xmass ingesonga japo two more days ili nirudi uswazi kale kabinti bwana we acha tu. Unakapiga bao kanaita jina lako kimahaba Dah yaani unaamua kujiibia mwenyewe na kumkabidhi zoooote mfukoni ah we acha tu
umeongea neno hapo!:D
 
jamani msifanye utani na vitu vya uswazi ni vya ukweli ukweli sio vya kichina uswazi unatapa kitu original kabisa tofauti na kwa sure alafu sebene wanaliweza sio lakitoto utakimbia kama ujajipanga alafu awana gharama ukinogewa ndoutaanza kupewa invoice mara nataka pesa ya saloon mara nataka nywele kama za yule utakiwi umpende sana
 
Back
Top Bottom