Uswahiba wa Advocate Mkono na Obama

Katikomile

JF-Expert Member
Jul 12, 2007
471
74
Kuna tetesi kuwa Mh. Mbunge wa Musoma vijijini, Nimrod Mkono alimchangia Obama kwenye kampeni yake USD 1Million, Obama akauliza huyu Mkono ni nani ningependa nimwone? Mkono akakaribishwa Marekani akakutanishwa na Mjaluo na ndo ushikaji ukaanza rasmi.

hadi juzi wakati wa kuapishwa kwake Obama alimpa personal invitation Mkono, na Mh. Mkono alitengewa sehemu yake ya kukaa pamoja na Ma-Senator!

Hii mnaionaje wadau (kama kuna ukweli anyway)?? Mkono anaona mbali kibiashara kwani he may gain more than ten times USD 1mil he contributed to boost up the man in power, the man himself, Baraka Hussein Obama, the brother of Auma Hussein Obama and the Grandson of Sarah Hussein Obama.
 
Hii ni nyepesi isiyo na kichwa wala miguu, uchaguzi wa marekani una sheria zake na pesa kutoka nje ya nchi haziruhusiwi kuchangiwa kampeni yoyote ile ya kisiasa.

Nadhani mkuu umefikiria kichwani kwako halafu ukajaribu kujiuliza wht if? Tatizo umelinganisha Bongo na US some two worlds far apart on almost evey aspect.
 
Hii ni nyepesi isiyo na kichwa wala miguu, uchaguzi wa marekani una sheria zake na pesa kuoka nje ya nchi haziruhusiwi kuchangiwa kampeni yoyote ile ya kisiasa.

Nadhani mkuu umefikiria kichwani kwako haafu ukajaribu kujiliza wht if? Tatizo umelinganisha Bongo na US some two worlds far apart on almost evey aspect.
hahahahahahahahaahh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom