Usultani kurejea Tanzania - Jakaya --> Salma -->Ridhiwani--->yule bosi wa chipukizi

haya ndiyo mnayoyaweza zaidi, ubeya, majungu, uzushi na upashkuna.
 
8D6U5181.JPG


Wapili Kushoto ndiye Halfan Kikwete (9) mwenyekiti wa Chipukizi Tanzania

Haaahaaa. Uswahili nao kazi kwelikweli. Tutarisishana mpaka ukuu wa taasisi nyingine nyeti mambo yakiendelea hivi.
 
Rev, achana naye huyo, toka apewe umod wa hii forum basi watoto wa tandale wamekoma kuringa

Nashukuru mzee nisije fungiwa hahahaha nilikuwa sijammanya vizuri! Mwafrika hebu weka vizuri hii thread kuna MoD anataka kuifuta.
 
Huyo dada mwembamba hilo gauni alirushiwa tu nae akavaa haraka<mbona limekaa hovyo hovyo hasa mabegani?

Ha ha ha, tenda hiyo ya mama salma..... kahusika na mavazi mengi ya sisiemu,

BTW --- huyo dada kafanana na yule mama anayecheza maigizo na mzee small (au macho yangu ndiyo yameyumba?), utadhani ni binti yake.
 
Nashukuru mzee nisije fungiwa hahahaha nilikuwa sijammanya vizuri! Mwafrika hebu weka vizuri hii thread kuna MoD anataka kuifuta.

oh ohhhh, ngoja niwaulize mods wanibadilishie title ya thread.

Nipeni mapendekezo wadau
 
Ha ha ha, tenda hiyo ya mama salma..... kahusika na mavazi mengi ya sisiemu,

BTW --- huyo dada kafanana na yule mama anayecheza maigizo na mzee small (au macho yangu ndiyo yameyumba?), utadhani ni binti yake.

Yaani hata tenda za kushona nguo zinakwenda kwa Baba Mama na Watoto/BMW? Hii familia imetuchoka kwa kweli
 
Hii ni familia ya hovyo mno cheki huyo dogo naye

CHWAKA+024.JPG


Pikipiki zikiwa zimepamba msafara wa Mjumbe wa Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa.Ridhiwani Kikwete wakati ukielekea Jimbo la Chwaka,Zanzibar jana kufanya kampeni

Source: Haki Ngowi Blog

Kama waafrika hatuko kama tulivyo, basi tunatakiwa kuihakikishia dunia kuwa hatuko wajinga kama watu wengine wanavyofikiria. Tarehe 31 Oktoba ndiyo siku yenyewe.
 
Wakichomoa Oct 31 watatuua. Kazi sasa ni kuhamasisha watu kwenda kupiga kura na kuzilinda

Presidential election results
(a) In case of Presidential Election, the Returning Officer after compiling partial result for the constituency, shall display and forward the same to the Commission.
(b) The Commission shall verify the result and do the following;
(i) declare the result of Presidential Election for that particular constituency ;
(ii) add together the Presidential Election result from constituencies;
(iii) declare to have been elected Presidential candidate with majority votes;
(iv) send a notification of the Election to the successful Candidate; and
(v) cause the ascertained results together with the number of votes recorded for each Candidate to be published in the Official Gazette. [Section 81 and 35E of the Elections Act (No. 1 of 1985)].

Kwa mtaji huu tume ya uchaguzi inaweza 'kuchakachua' matokeo na ikatangaza yanayokubaliana na matakwa ya "Bwana Mkubwa". Ndiyo maana kuna haja ya kuwa na tume huru ya uchaguzi - hii iliyopo ni kanyaboya - wastage of time and resources!
 
Back
Top Bottom