Usultani kurejea Tanzania - Jakaya --> Salma -->Ridhiwani--->yule bosi wa chipukizi

Mwafrika

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,490
226
Najua wengine mtaanza, ohh mwafrika una obsession na Kikwete's family BUT ukweli ni kuwa, Kikwete na familia yake ndio wana obsession na mwafrika. Kama wangeacha kufilisi na kuaibisha nchi yetu, mimi hata nisingesema chochote kuhusu wao.

Kikwete katumia bilioni 29 kupaka rangi ikulu. Katumia mabilioni kuzunguka dunia (eti kuomba misaada). Na bado amerudi Tanzania, katumia mabilioni (karibu bilioni 70) kwa ajili ya kampeni za uchaguzi. Na kama hiyo haitoshi, first lady (Salma Kikwete) anatumbua milioni 28 (za watanzania) kwa masaa matano tu kukodi hili dege la kifahari kuzunguka Tanzania nzima (eti akimfanyia mumewe kampeni):

2241536655_540d01c2cf.jpg


Mambo hayaishii hapo tu, Mama Salma anapokelewa na msururu wa magari ya serikali, anapokea report ya utendaji kazi wa serikali etecetera etecetera.

Kisha kuna Ridhiwani, ukitaka kujua kiasi cha pesa kinachotumika kwenye "safari" za huyu mwana wa sultani, kamuulize mtunza hazina wa ccm.



Prince Ridhiwani anaongoza kampeni za Kikwete Tanzania nzima kwa kutumia mabilioni ya shilingi za watanzania. Kijana alifikia hatua hata kuzuia masomo ya watoto wa shule ya msingi ili afanye kampeni zake.

Aliyofanya Miraji Kikwete (kwa kushirikiana na Rashid Shamte, mtoto wa kinana, na January Makamba) yameongelewa sana hapa na sitayagusia for now.

Na sasa kuna yule mtoto mdogo wa kikwete, nasikitia eti ndiye bosi wa chipukizi wooote Tanzania. Sasa, kwa mambo ya kisultani kama haya, kwa nini mwafrika nikose cha kusema kuhusu Kikwete's family?

kati ya mimi na wao, nani ana obsession na wenzake? Trust me, wakiacha mpango wao huu wa kutaka kurithishana vyeo na utajiri wa Tanzania, mimi nitakaa kimyaa. Natumaini kuwa baada ya Dr Slaa kushinda uchaguzi wa uraisi jumapili hii, sitakaa kamwe niandike chochote kuhusu familia ya kisultani ya JK (unless kama kesi ya ubadhirifu wa mali za serikali imefunguliwa dhidi yao).

Inaendelea.....
 
Hii ni familia ya ajabu sana. Yaani kila mmoja anajiona ni sehemu ya urais wa nchi hii. Angalia huyo mama anavyo-pose hapo kama rais. Inakera sana.
 
Hii ni familia ya ajabu sana. Yaani kila mmoja anajiona ni sehemu ya urais wa nchi hii. Angalia huyo mama anavyo-pose hapo kama rais. Inakera sana.

MP,

Huyu mama anapokelewa na msafara wa viongozi wa serikali, anapokea report ya utendaji wa serikali za wilaya na mikoa (as if yeye ni raisi wa nchi). Amebaki tu kukagua gwaride la heshima toka kwa majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania - wakati wa sherehe za uhuru Dec mwaka huu (kama tutawaachia ccm na kilaza wao huyu waendelee kututawala).
 
Hii ni familia ya hovyo mno cheki huyo dogo naye

CHWAKA+024.JPG


Pikipiki zikiwa zimepamba msafara wa Mjumbe wa Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa.Ridhiwani Kikwete wakati ukielekea Jimbo la Chwaka,Zanzibar jana kufanya kampeni

Source: Haki Ngowi Blog
 
Asasnte sana Rev Masanilo (goosh we missed you walivyokufungia).

Rev, unaweza kunitumia (au kuweka hapa) picha ya yule dogo anayeongoza chipukizi? nimeitafuta kwenye maktaba sikuipata.
 
Hii ni familia ya hovyo mno cheki huyo dogo naye

CHWAKA+024.JPG


Pikipiki zikiwa zimepamba msafara wa Mjumbe wa Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa.Ridhiwani Kikwete wakati ukielekea Jimbo la Chwaka,Zanzibar jana kufanya kampeni

Source: Haki Ngowi Blog

Mchungaji upo juu sana.

Huwa nakubali sana mabandiko yako.

Mwafrika ubarikiwe sana.
 
Asasnte sana Rev Masanilo (goosh we missed you walivyokufungia).

Rev, unaweza kunitumia (au kuweka hapa) picha ya yule dogo anayeongoza chipukizi? nimeitafuta kwenye maktaba sikuipata.

Anaitwa Halfan Kikwete, ngoja niingie machimboni
 
8D6U5181.JPG


Wapili Kushoto ndiye Halfan Kikwete (9) mwenyekiti wa Chipukizi Tanzania
 
Mchungaji upo juu sana.

Huwa nakubali sana mabandiko yako.

Mwafrika ubarikiwe sana.

Nawe pia mkuu ubarikiwe sana. Kazi iliyoko mbele yetu ni kubwa sana lakini tuna imani kuwa MUNGU atatusaidia tuondokane na hii kansa ya ccm inayoongozwa na Kikwete na familia yake.
 
8D6U5181.JPG


Wapili Kushoto ndiye Halfan Kikwete (9) mwenyekiti wa Chipukizi Tanzania

Thanks much Rev .... no wonder some of the mods wanataka kutufungia. Kazi yako haina kipimo.

Itabidi uweke ratiba yako hapa ili wana JF wajue utakuwa unaendeshea wapi maombi ya uchaguzi weekend hii.....lol. Natumaini malaria sugu atatokea ili mapepo yakemewe once and for all.
 
Mi huwa nikiangalia watu wa hii familia ya kisultani, nacheka tu maana siamini kuwa kuna familia ya mbumbumbu namna hii duniani inayoweza kuongoza hata nyumba kumi kwi kwi kwiiii
 
Mi huwa nikiangalia watu wa hii familia ya kisultani, nacheka tu maana siamini kuwa kuna familia ya mbumbumbu namna hii duniani inayoweza kuongoza hata nyumba kumi kwi kwi kwiiii

ha ha ha ha, kweli kabisa mpambalyoto. Hawa hawafai hata kuongoza msafara wa watoto kwenda shule. stori inaweza kuwa hivi:

Jakaya: wewe chausiku, acha kiherehere chako cha kukimbia kabla taa ya kijani haijawaka
Salma: baba riz, inaonekana chausiku hajifuniki shuka usiku akilala
Halfani: Mama, umejuaje hayo?
Salma: si unaona vile kilivyopauka miguu (kama ... anataja jina la mpinzani hapa).

...

Ridhiwani: Oyaa Miraji, inakuwaje?
Miraji: zwzwzwiiiiiiiiii, niache mzee, dingi atashtukia bure kuwa niko high
 
Hivi huyu mama anampeti mzee saa ngapi?, afu yule nanihiiiiiiiiiiiiii yule anayekata viuno kwa kutunga nyimbo za kampeni safari hii wamempiga chini na kikundi chake, familia imechukua pozi, makubwa!!!
 
Hii thread hainogi bila kuwa na picha ya mlinzi mkuu wa familia ya Kikwete - shehe yahya huseini

sheikh-yahyabc.jpg
 
January+Makamba.jpg


Huyu atakuwa waziri mkuu, msilauumu sikusema Iwapo tu Kikwete ataiba kura
 
Back
Top Bottom