ustaarabu umekushinda????

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
za asubuh jaman beibe nasty naendelea vizuri na mafua. Sasa bana kunawatu hawa wananikera hakuna mfano eti mtu anakohoa,anapiga chafya, anapiga miayo halaf hazibi mdomo halaf ukimwambia anakua mbishii. Haya mwingne sasa anatema mate au kohoz halaf hafukii jaman wananichefua na huyu wakat watu wanakula anapumua(toa shuzi) sipendi tabia hiz n huu ni ukosefu wa ustaarabu
 
Back
Top Bottom