uspite tu! Lazma inakuhusu.

Bandiko langu la mwisho jamii forums,
hom of Grt thinkers na kenge humo humo.
I lov all who lov me.

Sharon.

Bye.
 
G mpolee, mpole na mzuri. Hongera kwa kufaulu. Kakaze buti mdogo wangu. Shule lini?
 
mmmmmmmmmmmmmmhhh 18? Naanza kutafakari uwepo wangu jf.Should i quit jf ?maana tunayoongea humu jf! Mmmmhhhh!!

kunguru akinyea mkono utaukata? Waelimisheni hao watoto, wasaidieni kujua wapi wanakosea na wapongezeni wanapofanya vyema. Hata jf ni shule, acha watu wajifunze. Kwanza umri ni namba tu kwenye calendar.
 
Bandiko langu la mwisho jamii forums,
hom of Grt thinkers na kenge humo humo.
I lov all who lov me.

Sharon.

Bye.

hongera binti na mwanafunzi kwa hatua hiyo,inatia moyo kwa wengine ya kwamba inawezekana! basi usipasahau hapa jf mara moja moja unapitia!God be with u.
 
mbona kuna watu wazima ovyoooo hapa jf, kwani uanafunzi kitu gan?

najua nin nataka na ninachotaka haitakiwi nikacheze shule. nitakazana mm ni future speacialist Doc, nalijua hilo bado tu kuonesha ulimwengu sina masihara!

Najua watu wazima ovyoo wapo..lakini ukisoma mabandiko yao yana tofauti na ya watoto wakubwa ovyoo - utagundua tu!
Kama kweli una spirit hiyo: nikifumba macho nakuona ukiwa umevaa mavazi ya ki-daktari...guess what..unamtibu mgonjwa mwenye matatizo ya cancer na anapona.

Nakuona pia ukiwa unamshauri binti alieathirika ki-saikolojia kutokana na kuachwa na boyfriend wake..Si kwa sababu utakuwa umesoma saikolojia bali kwa uzoefu ulioupata ukiwa Jf!!!
 
Bandiko langu la mwisho jamii forums,
hom of Grt thinkers na kenge humo humo.
I lov all who lov me.

Sharon.

Bye.

GM Umenigusa mwaya dia! hongera sana kwa kufaulu, ukasome ss mm nakutakia kila la kheri! umshirikishe mungu ktk mambo yako yote ni mwema atakusaidia. nitakumiss umchesh. wish u best of lucky.
 
Bora matokeo yametoka!!! PCB??? Pia kumbuka kuna BAM,njoo nikufundishe topic zote za Pure Mathematics I & II na utapata BAM S tu advance.
 
Golden Mpolee, mzuri na Mpolee na Doctor matarajiwa wa Familia yetu pendwa.... Nasikitika nimepishana na wewe na kukuta ushatoa bandiko lako la mwisho kwa hapa JF. Nimefurahi kwa habari yako ya ufaulu na hasa kua wachukua science, nimefurahi pia kwa kutambua kwako kua shule ni muhimu na mtandao waweza kukupotezea mda. I am more so humbled kua you think of me that way... Mungu akubariki katika safari yako ya masomo na maisha... Na usisite kua kila upatapo nafasi upite kidogo JF.

God... 18??? That explains a lot dear... Best of Luck.

Pamoja saana.
 
ulipotelea wapi aisee? loh! avatar imenihadaa nikajua ashadii mwingine.
 
Back
Top Bottom