uspite tu! Lazma inakuhusu.

Aisee huyo aliyeitoa nikimpata namcharaza panga haiwezekani 15 watu wafungue mlango mapema hivi na wewe kwa nini hukukataa?

ningekua na akil nilyonayo sasa ningekata. Nilkua naogopa alaf ni kakangu wa kambo.
 
hongera kwa kufaulu
kasome kwa utulivu, PCB, sio mchezo

ningekuwa karibu ningejitolea kukufundisha B/Maths bure maujuzi yangu yanakufa bure sababu ya uzee.
 
ningekua na akil nilyonayo sasa ningekata. Nilkua naogopa alaf ni kakangu wa kambo.

Mmh utakuwa ulikuwa unamtega na kanga nini maaana ndio zenu unatoka kuoga bafuni na kanga moja halafu unajipitisha mbele zake
 
hongera kwa kufaulu
kasome kwa utulivu, PCB, sio mchezo

ningekuwa karibu ningejitolea kukufundisha B/Maths bure maujuzi yangu yanakufa bure sababu ya uzee.

ni kweli alaf mm mgum kdg kuelewa nikianza masomo hata cm ya mkonon c intanten. Cjakata tamaa nitakazana tu!
 
Back
Top Bottom