Elections 2010 uspika wa tanzania

:thinking::A S cry:
angalia katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania ibara ya 86
.....awe mbuge na amependekezwa na chama chake au awe ni mtu yoyote mwenye sifa za ubunge anaweza kupendekezwa na chama na baadae majina kupigiwa kura bungen.......kama ni jina moja tu ndio lililopendekezwa basi tutampa directly kuwa spika..........."mtu yoyote mwenye sifa za ubunge "nadhan utakuwa unaelewa maana yake
 
angalia katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania ibara ya 86
Hiyo ibara inazumgumzia utaratibu wa kumchagua spika na sio sifa za spika .

86.-(1) Kutakuwa na uchaguzi wa Spika katika kikao cha
kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge Jipya, na katika kikao
cha kwanza chochote mara baada ya kutokea nafasi katika kiti
cha Spika.
(2) Kutakuwa na uchaguzi wa Naibu wa Spika wakati wo wote
katika Mkutano wa Kwanza wa Bunge Jipya utakaoteuliwa na
Bunge na vile vile katika kikao cha kwanza cha Bunge mara
baada ya kutokea nafasi katika kiti cha Naibu wa Spika.
(3) Uchaguzi wa Spika, na vile vile uchaguzi wa Naibu wa
Spika, utafanywa kwa kura ya siri, na utaendeshwa kwa kufuata
utaratibu uliowekwa na Kanuni za Bunge.

full copy of katiba tembelea The Tanzania National Website
 
84.-(1) Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na
Wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni Wabunge au
wenye sifa za kuwa Wabunge; atakuwa ndiye kiongozi wa Bunge
na atawakilisha Bunge katika vyombo na vikao vingine vyote nje
ya Bunge.
(2) Waziri, Naibu Waziri au mtu mwenye madaraka ya aina
nyingine yoyote itakayotajwa na Sheria iliyotungwa na Bunge kwa
madhumuni ya ibdara hii, hataweza kuchaguliwa kuwa Spika.

(9) Mtu yeyote ambaye si Mbunge atakayechaguliwa kuwa
Spika, atatakiwa, kabla ya kuanza kutekeleza madaraka yake,
kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu.
 
I was safely having my drink, have already accepted JK as my presida logically though functionally n administratively he is...but when Chenge came on air, my drink was coming out..I was literally throwing up, he had cleared himself of all those 'big heavies' facing him, he even urged the critics to visit pccb to gain further truth..my my..if he wins this..lord help us, I expect all MP's to know its a RUDE AWAKENING time...reverend Kishoka, I've missed ur posts are u tanning in the bahamas?
 
Back
Top Bottom