Uspika - Nimeamini Mungu anataka mabadiliko Tanzania

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
CCM wanajikwaa kila mahali ili mabadiriko yaweze kutokea. Kwa waliopendekezwa na CCM kugombea basi CCM haina spika. Tumwombee Mabere Marando apite ili mabadiriko yatokee.
 
mdau mamob huko kwenye chama si mazuri yani kifo cha chama chetu cha mapinduzi kiko njiani maana sasa wamewaweka kina mama watatu kuwaania nafasi ya uspika na leo nilisoma mwananchi walifanya mahojiano na makamba ila inaonekana hatua ya chenge kumsuta hadharani sita ilikuuwa ni mpango kabambe sasa inaonesha kuwa hawataki mabadiliko inabidi sasa upinzani ndio wachague spika huenda demokrasia ya kweli ikawepo. sina maan kuwa kina mama hawaawezi kazi ila kwa kipindi cha sasa ilitakiwa sitta aendelee
 
Wasiwasi wangu wataendelea kuchakachua tu make ha jamaa (CCM na serikari yake) Siwaamini kabsa.
Kwa kifupi sina imani na mfumo wa sasa wa unaondesha nchi.
 
Hivi ni kweli sisiem wanampango wa kuwaletea wananchi maendeleo ama kazi yao ni kulinda madudu/maovu yao wanayoyafanya huko siri-kalini! kumnyima sita uspika kwa mara ya pili imetudhihirishia hili..! Sasa 2015 watakiona cha moto, labda wabunge wao wampe marando kura awe spika otherwise hawatapata hata mbunge mmoja kwenye next election..!:A S angry:
 
CCM wanajikwaa kila mahali ili mabadiriko yaweze kutokea. Kwa waliopendekezwa na CCM kugombea basi CCM haina spika. Tumwombee Mabere Marando apite ili mabadiriko yatokee.

Chadema ni Minority party. It won't make sense if Marando became a Speaker.
 
Hakika ccm wamepotea, hilo siyo bunge la kufanyia majaribio, hao akina mama wangewaacha kwanza walee.

Mdudu wa kulea maovu unazidi kuwatafuna.

mabere spika kama hakuna uchakachuaji
 
Jamani wana JF naomba mnisaidie kwa hili; hivi chama kimoja kinaruhusiwa kupeleka wagombea usipika zaidi ya mmoja!?
 
Jamani hao watatu wanaenda jadiliwa na kinara atakuwa mmoja ndo atapelekwa Bungeni
 
hao watatu wamepitishwa na CC(CENTRAL COMMITE,NA LEO WABUNGE WOTE WA CCM watachagua Jina moja ili lipelekwe bungeni.
Jamani wana JF naomba mnisaidie kwa hili; hivi chama kimoja kinaruhusiwa kupeleka wagombea usipika zaidi ya mmoja!?
 
mdau mamob huko kwenye chama si mazuri yani kifo cha chama chetu cha mapinduzi kiko njiani maana sasa wamewaweka kina mama watatu kuwaania nafasi ya uspika na leo nilisoma mwananchi walifanya mahojiano na makamba ila inaonekana hatua ya chenge kumsuta hadharani sita ilikuuwa ni mpango kabambe sasa inaonesha kuwa hawataki mabadiliko inabidi sasa upinzani ndio wachague spika huenda demokrasia ya kweli ikawepo. sina maan kuwa kina mama hawaawezi kazi ila kwa kipindi cha sasa ilitakiwa sitta aendelee

I am with you.I real agree with you, SIta is good
 
Back
Top Bottom