Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

CV ya Slaa hata akiomba kazi hapati, labda kanisani. Kurukia kwenye siasa za ufataan "wajinga ndio waliwao" ndio size yake? wapi zaidi ya huko? ccm walisha mpiga chini, akaona hii sasa kimbembe, wapi wanadanganyika haraka?

Faizafoxy na Jesuit nyie ni watu mnao pinga cdm 24 seven. Naona nyie ni kama washika pembe, mnashika mafisadi wanakamua. Hamna lolote.
 
Kigwangala nae kumbe bomu tu eh?
alitaka Dr.Slaa aende madrasa kama yeye?

Mh. Speaker, Kumbe ulikuwa hujui eeeeh anajifanya kuwa 'I dont hate the person' yet maelezo yake tu yanaonyesha ana chuki binafsi....Kigwangala hamna kitu kabisaaaaaaaaaaaaaaa....Na elimu yake bure kabisa, yaani huwa anaandika vitu mpaka unasema hivi huyu ni bwana mganga kweli....!!!!????
 
"Kigwangala ebu tupe Resumee ya Dr. Kikwete na kama aliandika na kudefend an original desertation".
 
Hivi hapa tunajadili nini?

Utimilifu wa Elimu ya Dr. Slaa Au Mvuto wa Elimu ya Dr. Slaa Au DINI ya Elimu ya Dr. Slaa?

I believe kama tungekuwa na Viongozi wenye "Elimu za Maana na Mvuto" tusingekuwa mpaka sasa tunaongelea TATIZO LA UMEME!
 
umenena Baba Enock
Hivi hapa tunajadili nini?

Utimilifu wa Elimu ya Dr. Slaa Au Mvuto wa Elimu ya Dr. Slaa Au DINI ya Elimu ya Dr. Slaa?

I believe kama tungekuwa na Viongozi wenye "Elimu za Maana na Mvuto" tusingekuwa mpaka sasa tunaongelea TATIZO LA UMEME!
 
Huyu ******* mwenzenu ambaye analazimisha na kushadadia jina lake lianze na Dr. Kakaa foreign ministry for 10yrs hajui hata kiarabu lugha ya mabasha zake na tangu amalize degree yake in early 70's hakuongeza hata cheti cha basic computer.Tukiacha hiyo Phd,Slaa anaongea 8 foreign languages,huu ni upeo mkubwa sana ambayo si kingwalala wala huyo jamaa wa magogoni wanaweza kuufikia.
 
huyu jamaa vovyote vile alivyo nakwa chochote anachotegemea, ni dhahiri kuwa anachuki iliyokithiri kutokana na kuhofia tumbo lake endapo Dr. Slaa atachukua madaraka ya nchi...yani kama ni usomi anaojaribu kutuaminisha kuwa yeye anao basi ni wazi anahofu ya wazi juu ya usomi wake kila anapojaribu kuulinganisha na wa Dr. Slaa hili naliona wazi kabisa na nio sababu kaanza kwa kujiami eti sina chuki wakati maneo unayozungumza yana kila aina ya chuki.

cha ajabu zaidi unajaribu kutengeneza imani ya uongo kubatilisha ukweli na wakati huohuo pengine bila kujijua unaanika ukweli hasa wa jinsi elimu ya Dr. Slaa ilivyo juu,.
kwa maelezo yako ulikuwa unamkubali yeye na eimu yake akiwa Mbunge kwani ubunge wake wakati huo haukuwa na athari ya moja kwa moja kwako(japo kwa kadri siku zilivyokuwa zikienda angekufikia tu). lakini sasa baada ya upepo kugeuka na kuona ngazi anayoelekea hivi sasa anaelekea kukumbana na uovu wenu live basi usingiz haupatikani tena na chuki inazidi kuchachamaa rohoni mwenu kwa kuona kila jaribio la kumuangusha linashindikana.
Hili limejidhihirsha kwenye kila sentensi uliyokuwa ukiandika kwani ni wazi wakati ukiyaandika ulikuwa unamashaka ya kuwa hili halitawezekana..

kama kulikuwa kuna walakini katika elimu yake aliyodhihirisha kwenye public isingechukua muda kwa jumuia ya catholics kuibua hili, labda uniambie chuo au vyuo alivyosoma havitambuliki..na uniambie ujumla wa elimu inayotolewa na jumuia hii kwako ni Hopeless na si Dr.Slaa hapo ndipo nitaconclude jinsi unavyosumbuliwa na udini
 
Tunakubaliana kimsingi kuwa degree za mtu hazi-determine utendaji wake wa kazi. wote tunamkumbuka Prof. kapuya alivyokuwa anavurunda kila wizara anayopelekwa.
Tatizo la msingi ni kuwa mtu wa CCM akikosea, ninyi magwanda mnadai lete CV yake, kasoma wapi, kilaza n.k.
Halafu Slaa, mnamtukuza sana, Dr. Ph. D. wa ukweli..........n.k
Sasa hapa tunachojaribu kuonyesha ni kuwa huo usomi wa Slaa unaosemwa ni wa kimazabe, elimu yenyewe ni ya dini...
Muache kurusha mawe wakati wenyewe mpo kwenye nyumba za vioo!

Sawa wana-MAGWANDA?
 
nina hakika 100% huyu Kigwangala Sijui.. anapata maumivu ya ubongo mno kila anapojaribu kulinganisha elimu yake na ya Dr. Slaa nakuo anashindwa kumkaribia kwa lolote..namshauri achukue step zaidi na kwenda kwenye vyuo alivyosoma D. Slaa kujiridhisha na Hofu yake... otherwise assumptions zitamtafuna kila kukicha na mwenzake anazidi kuchanja mbuga
 
kwagu mimi hamna haja yakwenda mbali kwenye nchi za watu kutazama mitaala yao ya elimu...naanzia hapahapa kwetu, elimu na viwango vyake vinatofautiana katika profession mbalimbali zinazosomewa..
mfano..tukitizama profeshen ya uhasibu..mtu anaweza pata Phd bila hata ya kuwa na bachela degree, endapo ataamua kusoma kupitia bodi mbalimbali za uhasibu ndani na nje ya nchi,na kisha akaupata huo udokta.,nichukue mfano wa mwandishi mkongwe wa vitabu vya uhasibu na wengine wengi tu,. Frank Wood,. huyu hana hata Masterz katika cv yake lakini viwango alivyonavyo ni vya udokta kabisa...
sasa mi sijui ulitaka Dr. Slaa asome profeshen yako au madrassa na hapo pia nina imani ungeongea na kukashifu tu
 
kwagu mimi hamna haja yakwenda mbali kwenye nchi za watu kutazama mitaala yao ya elimu...naanzia hapahapa kwetu, elimu na viwango vyake vinatofautiana katika profession mbalimbali zinazosomewa..
mfano..tukitizama profeshen ya uhasibu..mtu anaweza pata Phd bila hata ya kuwa na bachela degree, endapo ataamua kusoma kupitia bodi mbalimbali za uhasibu ndani na nje ya nchi,na kisha akaupata huo udokta.,nichukue mfano wa mwandishi mkongwe wa vitabu vya uhasibu na wengine wengi tu,. Frank Wood,. huyu hana hata Masterz katika cv yake lakini viwango alivyonavyo ni vya udokta kabisa...
sasa mi sijui ulitaka Dr. Slaa asome profeshen yako au madrassa na hapo pia nina imani ungeongea na kukashifu tu


Kaka unanitia aibu! umeeleza vizuri lakini nasikitika hilo hali-apply kwa Slaa.
Certificate na diploma alizosoma Slaa kabla ya JCD hazina uhusiano na discipline aliyosomea hiyo JCD.

Kupata proffessional certificates za uhasibu mfano CPA, hakuwezi kuawa sifa ya kupata Ph D ya medicine ndugu.
Sizuii watu kumpenda huyu Slaa, ila tuwe wakweli
Tazama hapa chini........


1980-1980 ADV.Diploma-Socio-Political Studies,Koln,Germany(KAF) Advance diploma
gani ya kusoma Mwaka Mmoja?

1981-1981 St.Thomas Aquinas University,Rome,AD.Diploma Rural Development
Advanced Diploma gani hii nayo tena?

1985-1985 London COR.College, Principles and Practice of Management Certificate.

>>>>Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor; J.C.D.) is the doctoral-level
C
 
Faizafoxy na Jesuit nyie ni watu mnao pinga cdm 24 seven. Naona nyie ni kama washika pembe, mnashika mafisadi wanakamua. Hamna lolote.

Huo ufisadi uneujuwa kama si Kikwete kuweka mambo wazi, cdm ndio tunaippinga kwa siasa zake mbovu za uvunjifu wa amani. Tanzania tunajivunia amani yetu miaka na vikaka, leo mapunguani wasiokuwa na maadili hata kwa wake zao, wanatuletea siasa uchwara za kudanganya watu na kukifanya hata kichuguu kuwa mlima, unataka tuwaunge mkono? hivi wewe una maana gani kumuunga mkono mtu ambae ana "record" chafu kuanzia kanisani mpaka kukwapua wake za watu? unataka Tanzania aipeleke wapi?
 
Kigwangala unatuaibisha sisi watu wa pande unazoongoza maana badala ya kushughulikia kero za wananchi wa nzega umeanza tena kufuatlia personal issues za dr slaa amaye usomi wake hauna mashaka. watu wa nzega wanahitaji, umeme, maji, shule ,walimu, hospitali ambavyo ni kidogo sana, kule ndala hamna umeme lakini ni centre ya siku nyingi sana, puge shida tupu. yape kipaumbele hayo badala ya kutoa kipaumbele kumfuatlia dr slaa. unatutia mashaka kama uta-deliver kweli. kesha ukishughulikia kero za watu, badala ya kukesha unashughulikia mambo ya mtu binafsi. Chama cha magamba ndio chenye watu wengi wenye usomi wa mashaka. plz an plz tatua kero za wana nzega.
 
Slaa bonge la bomu! :hatari: :hatari:

Hivi uwezo wa kuongoza unapimwa kwa elimu ya mtu au utendaji wake, kama elimu ndo kigezo kikuu basi tuchague rais mwenye elimu kuliko watz wote! na ubora wa kiongozi katika suala husika unapimwa kabla ya kuongoza au wakati na baada ya uongozi wake?
 
Hii sread inanitia hasira sana.
Huo usomi alionao Kigwa na magamba wenzie
umetusaidia nini hapa nchini.
Nadhani ni wa kukaa na kukodolea macho vitabu tu na kusoma magazeti ya chama na redio za chama cku inapita. Kama we ni Profesa umeleta changamoto gani unapoona nchi inatafunwa na kumezwa na watu wachache, kwa mtazamo wangu kadri profesa anavyozidi kukua anabadilika hormone zake zinakuwa za kike, woga, kujikunyata kwa sana na mtu wa kusema NDIO kwa kila anachoambiwa,
1.Kigwa umeleta hoja ngapi nzito zenye kutetea maslahi ya nchi kwa kutumia huo uprop wako?
2.Umeibua ufisadi gani mkubwa kwa kutumia huo uprop wako?
3.Umeangalia mara ngapi mikataba feki Ikisainiwa na kulitafuna taifa kwa hasara, uprop wako umeutumiaje hapo?
4. Umeangalia mara ngapi wananchi wa Nyamongo, Mererani.... wakiteseka kwa kuondolewa kwenye maeneo yao waliyokuwa wanatumia kwa kilimo na kupatiwa wawekezaji wa madini ambao hata serikali haipati faida kutokana na huyo mwekezaji. Huoni bwana prop kigwa unatakiwa ku-apply upropesa wako hapo kuokoa rasilimali kwa vile wewe ni msomi kuliko Hon. Dr. Slaa?
Huo uprpesa wako hautusaidii, kuwa na vyeo vikubwa sio kuwa na upeo mkubwa wa kufikiri, na uelewe kwamba uprpesa wenu ni wa kujobu mitihani akili zenu zimeganda, ****
 
Huyu Kigwangwalla ni Dr. naye eti, some freakin Tanzanians nauseate me sometimes.

Mtu anajiita academic halafu anaandika katika lugha asiyoijua na kuishia kujiaibisha tu. What is this country coming to?

Unamsema mtu kuhusu usomi wake wakati wewe mwenyewe hiyo lugha unayotumia kuandika ina mitobo kibao? If you live in a glass house, don't throw stones Kigwangwalla, don't make me do it cause I probably will overdo it.
 
Sipendi kuamini kuwa vyeti pekee ndo vinamfanya mtu msomi.Kuna watu wana Phd wengi tunasema hao ndio wamesoma lkn ukiingia kwa undani zaidi mtu aliyesoma ni yule anayeweza kupambanua mambo kwa kiwango stahiki.Mathalani kuna vijana wengi saa hii wana shahada za kwanza lkn uwezo wao wa kupambanua mambo ni finyu. Hili liko wazi na wala hatuhitaji mjadala.

Sababu kubwa ni mfumo wetu wa elimu kutokuwa mzuri.Tunahitaji kubadili mitaala!!!Katika hili ndio tunawakuta watu kama Hamisi Kingwangala wanashindwa kuja na hoja makini licha ya kuwa wasomi waliobobea.Ni aibu kubwa!!!

Ni ukweli usiopingika kuwa shule za seminary za wakatoliki zimekuwa zikifanya vyema mwaka hata mwaka.Hii inamaanisha kuwa taasisi
za wakatoliki zinaweka msisitizo wa kutosha ktk utoaji elimu kwa wanafunzi wao.Nani anayebisha kuwa watendaje wengi wazuri walioko serikalini hawajapitia shule hizo!!! Ubora wa elimu pia ni kitu cha kuangalia, chuo alichosoma Slaa Italia ni bora mara kadhaa kuliko alichosoma Kingwangala.Hapo hata uwezo wao wa kujenga hoja utagundua unakotoka!!
 
Baada ya kusoma uchambuzi wa Kigwangala kwenye -- kutoka wanajamii, napata hoja kuwa Slaa anapaswa kujibu na kujieleza kuhusu usomi wake -- unaodaiwa hapa chini kuwa ni wa kitaa.

Ajibu ama vinginevyo hana tofauti na usomi wa akina Salmini Amour na Mugabe na kama ndiyo kweli hana hoja za kuwacheka wengine. Kwa hakika anapaswa kufafanua!

From: Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwanga...@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wed, 25 May, 2011 11:36:39
Subject: Re: [wanabidii] Ujio wa CHADEMA Iringa: Tafsiri Yangu
@Lessian Mollel, for goodness sake I am an academic, I never talk factlessly!

Ninaposema amesomea mambo ya dini sibahatishi, kama kuna mwenye taarifa sahihi
zaidi ya hizi nitakazozitoa hapa chini basi na azilete hapa. I dont hate the guy
but these are facts and for upright people like me (Tundu Lissu knows my
history) we always stand for the truth.

I never fear the consequences of my
actions as long as I believe in something...I used to be a great fun of Slaa
when he was MP, but slowly I begun to see how low and insufficient he was for a
President!

I lost interest even in listening at him. I am fond of
revolutionaries, like Sankara, Lumumba, Gandhi, X, Nyerere, King Jr and even
recently Obama, but he is never even an inch close to being a charismatic leader
of our times in this country!

He wouldnt even appeal to common people and
convince them to vote for him, analijua hili na ndo maana anataka kuleta vurugu
kwa kauli za kichochezi, anadhani hiyo ndiyo itakuwa shortcut yake ya kwenda
ikulu.

Bora hata young people like Lissu, Zitto, Mnyika, Wenje ninawaona
wana-appeal na wanaweza hata kuja kutusumbua huko mbele kama wakijipanga vizuri
na 'wakipewa' nafasi!

Huyu hapa ndiyo:

Willibrod Peter Slaa (J.C.D., ikimaanisha Juris Canonici Doctor) ambayo aliipata
kutoka

The Pontifical Urbaniana University.
Date and Place of Birth: 29.10.1948,Kwermusl,Mbulu,Tanzania.

EDUCATION:
PRIMARY: 1958-1961 Kwermusl
1962-1965 Karatu Middle School.

SECONDARY: 1966-1969 Dunguyi Seminary
1970-1971 Itaga Seminary

PHILOSOPHY:
1972-1973 Kibosho Seminary

THEOLOGY:
1974-1977 Kipalapala Seminary
1974-1976 Makerere University,Diploma,Theology Alisoma Kipalapala, Tabora na
Makerere mwaka huo huo mmoja!

HIGHER EDUCATION:
1979-1981 Pontifical Urbanian University,Rome,JCD(summa cum laude) Doctor gani
ya kusoma miaka miwili, na hapo hatujajua ni miezi gani aliingia, inawezekana ni
chini ya miaka hii miwili inayoonekana hapa kwenye Bio yake! Hana Digrii ya
Kwanza, wala ya Pili, Hiki Chuo kinachukua wanafunzi walio below standards
kuingia kusomea masomo ya level ya tatu?

Elimu ya Slaa, hata hiyo hiyo
ya Sheria ya Dini ina Mashaka makubwa. Kumbe hata Sheikh au Ustadh yeyote yule
anaweza kupewa Honoris Doctor na kuomba Urais na akatuongoza kwa kutumia elimu
yake ya kitaa na ile ya sheria za dini (Islamic Jurisprudence).

Kweli watanzania wasitupe Big G yao mdomoni kwa kupewa karanga za kuonjeshwa! Na tutaanza kazi ya
kuwaelimisha watanzania kuhusu hii falsafa.

Bora hata huyo JK mwenye BA kutoka chuo kinachoeleweka na Honoris Doctor na Honoris Magister zilizowazi na kutoka
vyuo vinavyoeleweka.

Kisha uzoefu na exposure ya JK kiuongozi na kidiplomasia ni
kubwa sana kuliko huyu Bwana Slaa wenu mnayemfagilia sana kuwa ni msomi!

1980-1980 ADV.Diploma-Socio-Political Studies,Koln,Germany(KAF) Advance diploma
gani ya kusoma Mwaka Mmoja?

1981-1981 St.Thomas Aquinas University,Rome,AD.Diploma Rural Development
Advanced Diploma gani hii nayo tena?

1985-1985 London COR.College, Principles and Practice of Management Certificate.

>>>>Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor; J.C.D.) is the doctoral-level
>>>>terminal degree in the studies of canon law of the Roman Catholic Church.


It may also be abbreviated I.C.D. or dr.iur.can. (Iuris Canonici Doctor), ICDr.,
D.C.L., D.Cnl., D.D.C., or D.Can.L. (Doctor of Canon Law). Doctor of both laws
(i.e. canon and civil) are J.U.D. (Juris Utriusque Doctor), or U.J.D. (Utriusque
Juris Doctor).

A doctorate in canon law normally requires at least two years of additional
study and the development and defense of an original dissertation that
contributes to the development of canon law after having earned the degree
Licentiate of Canon Law. Only pontifical universities and ecclesiastical
faculties of canon law may grant the doctorate or licentiate in canon law.

The Licentiate of Canon Law is a three-year degree, the prerequisite for the
study of which is normally the graduate level bachelor of sacred theol huna jipya upuuzi uozo, nenda kaoge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom