Uso kwa uso na MwanaJF ndani ya Internet Cafe!!

Dah! Mi nimemwona mmoja kwenye daladala anabofya simu ila nikamchunia.
 
Kwanini sasa umchunie?

Si mngesalimiana tu!
Mbona ni vema tukawa kama jina la mtandao ilivyo ingekuwa vema sana?
Yani wewe Husninyo nikuone upo kwenye mtandao wa JF halafu nikuache bila ya salaam? Mi kweli nisingekubali.

Mpk nikuwe ID yako! Halafa baadae ndiyo tutajuana mbele kwa mbele jamvini!

Ingekuwa safi!
 
nimeshakutana na Mwana JF mmoja pale Benjamin Mkapa Tower kwenye Internet Cafe Underground Floor sikuamini they way alivyo smart na ni mtu wa makamo na pumba ambazo hua anatapika humu jamvini

We Manyanza wewe!
Hawajambo mji mkongwe lkn? Wana JF huwa tunakutana lkn kimazabe mazabe sana, huwa hatuaminiani kihivyo.
 
Mimi nilimkuta mvuta bangi flani akaniuliza "mwanangu unaipata JF?" nikamwambia naipata kunani jibaba? akajibu "Mzazi pale ndo nimejifunza kupandisha moshi, yaani kabla kujiunga JF mimi na bange tulikuwa kama Lucky dube na tarabu, hatujuani"
 
hahahhah!! Nimeshamjua huyo mvuta bange!
 
Kwanini sasa umchunie?

Si mngesalimiana tu!
Mbona ni vema tukawa kama jina la mtandao ilivyo ingekuwa vema sana?
Yani wewe Husninyo nikuone upo kwenye mtandao wa JF halafu nikuache bila ya salaam? Mi kweli nisingekubali.

Mpk nikuwe ID yako! Halafa baadae ndiyo tutajuana mbele kwa mbele jamvini!

Ingekuwa safi!

dah! Nishachelewa sasa. Nikimwambia nilimuona atataka na yeye anione. Ngoja nimute tu.
 
Mimi nilimkuta mvuta bangi flani akaniuliza "mwanangu unaipata JF?" nikamwambia naipata kunani jibaba? akajibu "Mzazi pale ndo nimejifunza kupandisha moshi, yaani kabla kujiunga JF mimi na bange tulikuwa kama Lucky dube na tarabu, hatujuani"

Nani huyo bosi?
 
Mkuu, pole sana nilikuwa provoked nikakiuka maadili.............
 
Back
Top Bottom