Uso kwa uso na msichana kwa mara ya kwanza ni fanye nini?

Jamani niambie nifanye nini ili huyu binti ninayeenda kukutana nae jmosi asinione boya maana sijawai kuwa na msichana tangu nibalee!
Mkuu ucjal, that day piga "sura ya mbuzi", ucjichekeshe chekeshe hovyo, story zako ziwe za moja kwa moja, acha braha brahaa!
 
Njoo KIBAHA-MAILIMOJA nikufunde cha kufanya na msichana kwa siku ya kwanza. Nina hakika utapata Couse ya nguvu !
 
jiandae kwa tizi zito (sana sana zoez la push up na kichura chura).,kiuno kiwe tayari kwa kipigo mwendo mmoja! Uciwe unasua sua!mara kimeongezeka spid mara kimepungua! Kamua adi zibak kengele nje 2!
 
kam K. sijabaree bana, msinitie majaribuniiiiiiiiiiiiiiiii uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom