Uso kwa Uso na C6...

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Ilikuwa asubuhi na mapemaa jua linchomozaee...
Nikapokea Pm kutoka kwa C6 kwamba mida flani atakuwa mitaa ya town posta ivi..
Basi mi bila hiyana nikamwambia karibu sana msukuma huyu na namba nikamwachia ili akifika anipigie.
Mida ya saa nne hivi simu ikaita, kabla sijapokea mara ikakata,mh!
nikashangaa namba gani mpya hii inabip..na kwa jinsi sipendi zereu nikamweka hewani.
Kuumbe ni yeye mume wa charminglady!!!

Ananiambia mida ya lunch tym atakua posta...nikasema hiyo nzuri twende tukapate mlo pamoja.
Nikangojaweeeeeeeeeeeee.......uvumilivu ukanishinda....nikamweka hewani tena..hapokei simu!
Nikaona hapa nikichelewa nitaishia kula ukoko au nipige dash kabisa! Ikabidi niende kula tu mwenyewe..

Vile narudi tu ofisini mara huyo..nooo hakupiga..akanibip tena..dah..basi nikamweka hewani ndo amefika posta!
Tukaenda kuonana bana..i was SHOCKED kwa kweli!

Imagination yangu ya huyu mtu bana ah..nlidhani tozi flani kijana sharobaro mmoja ivi...
but I was all wrong!!!
Very smart young man...kijana mtanashati....Ana stori huyo mpaka nkachelewa kurudi ofisini aisee.....
But nilifurahi kuspend that afternoon with him!!!

CAUTION kwa charminglady...kuna hawa wadada cacico, gfsonwin, Madame B, na wengine ambao hawapo jf (kina Salma, bi Mariam, dada Anna, sijui nani)...usipochunga mzigo wako huyu jamaa harudi tena!!!
Hawa ni wachache tu kati ya waliompigia simu kwa muda ule mfupi tuliokuwa wote jana na wote ana dates nao leo, cjui atawezaje!!!!

Anyway, bwana C6 no harm intended...looking forward to meet u again before u go back....heheh..if u go back!!!
 
Last edited by a moderator:
Yani me nilipenda alivyovaa na ile raba yake aliyotupia pale chini.
Ila kuna wanaume wazuri jamani.
Ngoja niishie hapa.
BTW C6 karibu tena na tena na tena.
ruttashobolwa naomba nisamehe kama nimekukwaza.
 
Last edited by a moderator:
mh....... Mentor punguza maneno, mke wangu charminglady akiona hii maneno utanisaidia kujibu kesi asseeeee

kweli i really had great times with you, hope tutaonana tena, si unajua tena leo ndo ijumaa nantakuwa wapi na nani mida mida hehehehehhe
 
Last edited by a moderator:
mh....... Mentor punguza maneno, mke wangu charminglady akiona hii maneno utanisaidia kujibu kesi asseeeee

kweli i really had great times with you, hope tutaonana tena, si unajua tena leo ndo ijumaa nantakuwa wapi na nani mida mida hehehehehhe
ila usibip tena, maana hata mimi ulinibip, nisingekupigia si tusingeonana? halafu una bahati sana nilikupigia, kikawaida huwa sipigii wanaonibip hasa kama namba siijui, msukuma wewe nadhani unaweka naniliu wakati unabip, lol!
 
Nyie kina @fp, mangi Mentor na Elizabeth Dominic msinivunjie heshima mimi nafanya kwenye mtandao wa simu halafu na dip? Kweli inakuja hiyo? Kwani mi mangi?

Ningekua nimesema ivo peke yangu apo sawa...
alafu tokea lini biashara ya mihogo na mbogamboga ikawa kampuni ya simu!??
We si umekuja Dar kuleta mihogo wewe!
BTW thanks alot kwa ile uliyoniletea jana...ni mitamu tofauti na hii niliyoizoea dar.
 
Back
Top Bottom