Usiyoyajua kuhusu Egypt Air crash

nafikiri jamaa wapo kwenye majaribio ya technology ya kupoteza ndeg ikiwa angani,na sitoshangaa kama haitaonekana bt wanawafanya watu waw ktk wakat mgumu maana ndug,jamaa na marafik wanapotea bila sababu za msng
 
Any man made has 99% of failure unaposafiri na kufika salama ni jambo la kumshuru Mungu.
 
Imetekwa au imeanguka?
Bomu hilo! na kuna fununu kuwa very soon ndege ingine kutoka nchi mojawapo ya Ulaya kama hawatawakagua abiria na wafanyakazi wa airport vizuri ndege ingine kubwa ya rangi ya brown itadondoshwa! when the servants of God speak, the wise listen.
 
Ya kuwa Ww ni servant of God? Hallelujah
 
Back
Top Bottom