Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

TaiJike

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
1,483
666

Dereva mmoja kwa jina MIKE alikuwa anampeleka boss wake Airport. Njiani Boss alikumbuka kuwa amesahau document muhimu sana hivyo alimwamrisha Mike amrejeshe haraka nyumbani aifuate hiyo document. Walipofika nyumbani Boss alimkuta mkewe yuko bafuni anaoga na amejipaka sabuni usoni. Kwa mapenzi mumewe alifungua mlango wa bafuni na kumshika makalio na ndipo mkewe alipojibu, ''MIKE ushamfikisha huyo mpumbavu airport kwa haraka hivyo. Usiwe na haraka tutakuwa na raha weekend yote hii kwani tutakuwa wote LAAZIZ wangu. Mkewe boss akaona kimya akaona kulikoni?Aliosha uso wake na mara akamwona mumewe?? Jamani kilichoendelea mimi sijui......Unadhani safari iliendelea?
 
Tete tehe tehehe yaaani Ndoa huenda ikawepo ila mike lazima apate habari yake kuwa mke wa mtu
ni sumu
 
Kwanza kwa vile nimemkuta yuko vile obviously nitatamani, na kwa vile alishamtaja mike ina maana jamaa anakamau, hvo mimi sitapitia njia ya sku zote itabidi niingilie fasi ya tigo, baada ya Hapo MIKE ajiandae kukojoa dagaa aina ya "furu"......miba ya kufa mtu, ni kumpiga mashine tu!:embarassed2:
 
Mike atakuwa alisharibu mazingira hakuna seal tena kunako tgo.
 
:majani7:uyo naee....kilichomrudisha nyumbani ni documents...cha kumfuatia mkewe bafuni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom