Usivunje kabati kwa written interview mdau

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,499
12,825
Wanajamvi wengi wetu tunaotafuta kazi siku ya interview hasa hasa oral ndio siku ya red carpet... Unapiga pamba unayoiaminia yaani unavunja kabati kwa kiswahili cha mtaaa... Suti, tai, saloon kwa sana, uturi, n.klkn wengine wamekuwa wakijisahau hadi siku ya written interview nayo anapoteza muda kibao kuzunguka kutafuta nguo eti awe smart.... Aaaah huuu utoto sasa, utakuta misuti, tai nk vyoote hivi vitakugasi tuu kuandika vizuri kwenye pepa yako. Njoo simpo tu ukiwa free ili upate hewa ya kutosha piga pepa rudi zako hom. Mbaya zaidi unavunja kabati leo kwa written then jioni unaambiwa uende kesho kwa ajili ya oral utavaa nini kesho yake sasa na zile unazoamini full matope... Semeni sasa!!! Amkeni bana... Mnatuudhi na misuti yenu kwenye written.
 
Hii nimeipenda ila hapo kwenye written interview leo then uitwe kesho kwenye oral.....wamesahisha mda gani hiyo pepa?
 
Hii nimeipenda ila hapo kwenye written interview leo then uitwe kesho kwenye oral.....wamesahisha mda gani hiyo pepa?

huo ndio mtindo mpya wa tume ajira hapa tzie.... leo written kesho yake oral mdau! simu unipigiwa mida ya 1 au 2 usku. kaaa chonjo utakuja enda oral na taulo weye
 
Wengine wamezoea kuwa nadhifi wakati wote sio kwenye interview pekee, so mi sidhani kama ni vibaya kupiga pamba safi hata kwenye written interview, inaelekea we jamaa una nguo maalum ulizozifungia sandukuni hadi siku ya oral interview. pole
 
mwambiiiiiie
 
Wanajamvi wengi wetu tunaotafuta kazi siku ya interview hasa hasa oral ndio siku ya red carpet... Unapiga pamba unayoiaminia yaani unavunja kabati kwa kiswahili cha mtaaa... Suti, tai, saloon kwa sana, uturi, n.klkn wengine wamekuwa wakijisahau hadi siku ya written interview nayo anapoteza muda kibao kuzunguka kutafuta nguo eti awe smart.... Aaaah huuu utoto sasa, utakuta misuti, tai nk vyoote hivi vitakugasi tuu kuandika vizuri kwenye pepa yako. Njoo simpo tu ukiwa free ili upate hewa ya kutosha piga pepa rudi zako hom. Mbaya zaidi unavunja kabati leo kwa written then jioni unaambiwa uende kesho kwa ajili ya oral utavaa nini kesho yake sasa na zile unazoamini full matope... Semeni sasa!!! Amkeni bana... Mnatuudhi na misuti yenu kwenye written.

Cha muhimu ni kujibu vizuri maswali utakayoulizwa, iwe katika usaili wa kuandika ama mahojiano. Ukifauru vizuri utaitwa kuanza kazi hata kama wakt wa usaili hukunyonga tai. Nakumbuka katika interview yangu ya kwanza sikutoka bring!! bring!! Lakini kwa nilichowafanyia ktk usaili, hawakusita kuniita kusaini mkataba. Sikumbuki kama kuna swali nilshindwa kujibu. Hadi niko napiga kazi.
So, vaa kawaida kama ambavyo huwa unavaa siku zote. Mwalimu wang wa communication skills alitueleza kuwa wakt mwengine kuvaa vazi usilolizoea kunaweza kukupunguzia confidence ktk interview.
MUHIMU: Haina maana kwamba huende katika usaili ukiwa mchafu mchafu!!!

huo ni ushamba, siku hizi watu hawaangalii mavazi wanaangalia jinsi unavyoji-sell wewe mwenyewe. cha msingi ni kuwa safi tuu hamna haja ya kuvunja kabati. may be ni first interview
 
hoja yako nzuri ila kuna sehemu umenitaiza kidogo unasema eti siku ya oral uvae simple ili uwe free na upate hewa ya kutosha.sasa je siku ya written ukivaa hiyo mijisuti ina maana hautakua free na utakosa hewa ya kutosha.huoni km una nafasi finyu ya mafanikio hapo?rekebisha usemi kaka, wazo lako zuri ila hapo umeboronga jamaa.
 
mwambiiiiiie

Anaeulamba kila siku anajulikana hutaki kuuliza, hapa amelenga wale wanaovunja kabati siku ya interview na wapo wengi sana kama umehudhuria interview nyingi utakuta wengi wao wapo smart mpaka wamepitiliza (kwa lugha nyingine wapo nje ya utaratibu kutokana na kuvunja kabati tofauti na siku zote). Mtu akiajiliwa unakuta ni mtu mwingine kabisa tofauti na siku ya interview
 
Hii nimeipenda ila hapo kwenye written interview leo then uitwe kesho kwenye oral.....wamesahisha mda gani hiyo pepa?

Mkuu inawezekana kabisa nakumbuka nilisha wahi kwenda Kufanya Interview wilaya ya Chunya huko mbeya, ilikuwa ni ya shirika la VECO, tulipiga interview baadae tuka break na baadae tukaitwa kupewa majibu ya interview so walimaliza kila kitu na kutoa majina ya walio chukuliwa, nilipenda sana na hakukuwa na usanii make kwanza ilisimamwa na Wazungu kutoka Uganda,

So inawezekana ukapiga interview na kupewa majibu siku hiyo hiyo

Kuvaa nako si ishu sana ndo maana mimi naimika sana haya mashirika yanayo ongozwa na wazungu, Mzungu hata ukija kwenye interview umevaa kaputura yeye haangalii anacho anagalia ni materio unayo present, kuna shirika moja sitaki kulitaja jina ni la kimataifa wana miradi huku Bongo kwenye interview zao hawaangalii nguo hata ukivaa bukta wao hawajali
 
na pia inategemea na "position" au kada yenyewe wadau, sio kila position itafaa kuvaa suti!.
 
Back
Top Bottom