Usitupe taka hapa-Masaki

Tigga Mumba

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
746
473
Nimekutana na hii kitu masaki.... Hiyo dola 3000 duh!!
 

Attachments

  • 20121017_105935.jpg
    20121017_105935.jpg
    723.3 KB · Views: 313
haka katangazo hata hakana thamani ya dola moja..! halafu kana mtahadharisha mtu kuhusu penalt ya dola 3000...!? huu ndio upuuzi wa kutokua na uelewa..!!!
 
Kwa sheria za nchi gani? Manake sheria inastipulate minimum na maximum fine, na fine ya kwa mtogole haipashwi kutofautiana na ya masaki.
 
Huko wanakaa wazungu sana kwanin asingeandika na kwa kizungu? mafuku na penaty ndio nin?
 
Back
Top Bottom