Elections 2010 Usitukane Mamba Kabla ya Kuvuka Mto: Yaani WaTZ ni Makokoto?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Kama kuna mtu amemharibia JK ni Mkapa.

Kumuita Lipumba kokoto? CUF unawaita kokoto kabla kura hazijapigwa Zenji? Mtaniambia kama huyo Shein atashinda. Nitakula maneno yangu.

Tena nashukuru Ilirushwa Tanzania nzima kupitia TBC.

Uitwe kokoto kabla ya kupiga kura halafu kesho yake (leo) uchague CCM??

Unalaana au??
 
Pamoja na kutukanwa kwa ufahamu wa wtz wataipigia ccm kura,umesahau waziri wa mkapa alisema hata tule nyasi lakini lazma anunue ndege ya rais?wtz badala ya kuinyima kura waliipa ccm 80%win,hao ndio wtz bwana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom