Usithubutu Kukutwa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
image002.jpg
inasemekana kwamba kuna ukweli kwamba nyoka anaweza kupita katika mabomba na kuibukia katika choo kama hivi
 
image003.jpg
tafakari iwapo umebanwa kwa kiwango cha lami............
 
Umenikumbusha mtu mmoja alishawahi kuumwa na nyoka t*k^n,alikuwa anajisaidia vichakani.Kwa kweli hii ni hatari sana,tahadhari muhimu sana.
 
image004.jpg
......bilA SHAKA MAVI YATASUKUMA CHUPI
[QBelieve it or not, Mr. Wanjohi, Specialist – Information Communication & Technology Management, found a snake in his toilet in Embakasi Nyayo Estate not very long ago, so it's not strange that snakes swim along the sewer lines and end up in the toilet bowl. It's by God's grace that his toilet pan was closed, otherwise God knows what would have befallen to them. And as he lifted the pan, he saw the snake and closed it right back (unlike those of us who enter the toilet backwards, taking it for granted the course is clear!!!). After calling for help which came between 5 - 10 minutes later, the snake had slid through the lid and was coiled on the toilet mat on the floor. It must have been fatigued by the struggle of climbing the slippery toilet bowl so it just lay coiled and didn't move. It was killed right there on the toilet floor.
Beware!!! Always make sure the pan is closed when you go to bed lest wild life gets into your bedrooms, always switch the light on when going into the loo, and lastly but not the least make sure there is nothing in the bowl before you use the toilet.

Never sit, before looking properly
UOTE=Amavubi;4639766]View attachment 65118
tafakari iwapo umebanwa kwa kiwango cha lami............[/QUOTE]
 
image005.jpg
hakuna muamana tena hapa..........dawa ya nyoka ni nyundo...........
 
Sio Cobra mpendwa. Huyu ni Cobra ana uwezo wa kucross maji tu na sio kupita chini kwa chini. Labda Python, huyo ana uwezo wa kuzama chini ya maji akala samaki na akarudi kujipatia hewa safi yenye utlivu wa shibe.
 
uking'atwa na nyoka mkononi utafunga kamba damu isikimbilie kwenye moyo...sasa uking'atwa maeneo flani sijui kamba utaifunga wapi kuzuia sumu...
 
Kuna jamaa mmoja tulikuwa tunafanya naye kazi akawa anaendesha sana na hivyo hakuwa na uwezo wa kwenda kazini, akawa wa kulala tu.
Siku moja asubuhi akiwa ameenda chooni, baada ya kujisaidia akatazama kwenye tundu la choo, akakutana na kichwa cha nyoka mkubwa sana. Alikimbia na hakuendesha tena na kesho yake asubuhi tukaenda kazini wote. Kwa hiyo si mbaya ukikutana naye,yawezekana akawa msaada
 
anaweza kukutahiri mara ya pili kama unajisaidia,au akuzibe njia maji taka mazito au alikuja kula kozi maana dunia haieleweki siku hizi.
 
Bora ukutane na nyoka wa aina hii.....
 

Attachments

  • 3.jpeg
    3.jpeg
    26.3 KB · Views: 38
Back
Top Bottom