Usiteme Big G kwa karanga za kuonjeshwa.

DERICK2000

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
203
35
Kama heading ya hapo juu inavyosema ndo ujumbe wa leo.

Maandalizi mema ya wikend.
 
Cha kuongezea hapo juu.
Hata malaya alizaliwa na bikira hivyo tumia mpira ili uendeleze kamchezo mpaka uzeeke.

:->ALWAYS A BIG LIAR SHOULD HAVE A BIG MEMORY:-"
 
Ha ha ha!
Jana ofisini nilikuwa natafuna chewing gum yangu, nikaenda dining nikakuta avocado zuri; l took a peace, kimbembe kimekuja nifanyaje na my chewing gum ambayo ndio kwanza nimeiweka mdomoni.

Guess what?
Nikula hicho kipande cha chichi na chewing gum ikiwa mdomoni. As the result, chewing gum ilikuwa laini zaidi. You should try it!

Kwa maana ya msemo huu, don't try it!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom