Usitegemee ukweli kutoka kwa Dk. Steven Ulimboka!!

mkuu mbona nashindwa kukuelewa unasemaje vile.

...Usitegemee ukweli wowote kutoka kwa Dk. Steven ulimboka.
...Kwanini?,

Hivi ungekua wewe ndio Dk. Ulimboka una sifa zifuatazo
...Labda una familia yenye watoto zaidi ya wawili, Mke pamoja na other relatives..
Hivi TISS wakisema au wakiku-hakikishia kuwa moja ya mtoto wako atakua kama bond ya
kulinda kilichotokea,
Kumbuka watoto au mtoto anaweza akawa framed kwenye ajali ya kugongwa na gari..
wewe kama baba unachukua move gani?.

NB
Swala hili ni la kufikirika ukilinganisha na chelikari yetu.
 
Additional information is expected but not a must. So Ulimboka aachwe apumnzike kidogo.
 
...Usitegemee ukweli wowote kutoka kwa Dk. Steven ulimboka.
...Kwanini?,

Hivi ungekua wewe ndio Dk. Ulimboka una sifa zifuatazo
...Labda una familia yenye watoto zaidi ya wawili, Mke pamoja na other relatives..
Hivi TISS wakisema au wakiku-hakikishia kuwa moja ya mtoto wako atakua kama bond ya
kulinda kilichotokea,
Kumbuka watoto au mtoto anaweza akawa framed kwenye ajali ya kugongwa na gari..
wewe kama baba unachukua move gani?.

NB
Swala hili ni la kufikirika ukilinganisha na chelikari yetu.
Mkuu Gooogle, hivi hadi hivi sasa ukweli wa jambo hili haujulikani?
 
Last edited by a moderator:
...Usitegemee ukweli wowote kutoka kwa Dk. Steven ulimboka.
...Kwanini?,

Hivi ungekua wewe ndio Dk. Ulimboka una sifa zifuatazo
...Labda una familia yenye watoto zaidi ya wawili, Mke pamoja na other relatives..
Hivi TISS wakisema au wakiku-hakikishia kuwa moja ya mtoto wako atakua kama bond ya
kulinda kilichotokea,
Kumbuka watoto au mtoto anaweza akawa framed kwenye ajali ya kugongwa na gari..
wewe kama baba unachukua move gani?.

NB
Swala hili ni la kufikirika ukilinganisha na chelikari yetu.

WOGA kamwe haufanikishi MAPAMBANO.......Hivi Gen Msuguri angewaza Idd Amin kukamata watoto wake tungeshinda ile vita kweli?
 
...Usitegemee ukweli wowote kutoka kwa Dk. Steven ulimboka.
...Kwanini?,

Hivi ungekua wewe ndio Dk. Ulimboka una sifa zifuatazo
...Labda una familia yenye watoto zaidi ya wawili, Mke pamoja na other relatives..
Hivi TISS wakisema au wakiku-hakikishia kuwa moja ya mtoto wako atakua kama bond ya
kulinda kilichotokea,
Kumbuka watoto au mtoto anaweza akawa framed kwenye ajali ya kugongwa na gari..
wewe kama baba unachukua move gani?.

NB
Swala hili ni la kufikirika ukilinganisha na chelikari yetu.

jamani ma moderator kamateni hii mutu,inachafua hali ya hewa,ni zaidi ya dhaifuuuuuu!
 
Nakubaliana na wewe. Subirini LABDA miaka thelathini ijayo watakaokuwepo wataenda kujibu mahakamani!!
 
...Usitegemee ukweli wowote kutoka kwa Dk. Steven ulimboka.
...Kwanini?,

Hivi ungekua wewe ndio Dk. Ulimboka una sifa zifuatazo
...Labda una familia yenye watoto zaidi ya wawili, Mke pamoja na other relatives..
Hivi TISS wakisema au wakiku-hakikishia kuwa moja ya mtoto wako atakua kama bond ya
kulinda kilichotokea,
Kumbuka watoto au mtoto anaweza akawa framed kwenye ajali ya kugongwa na gari..
wewe kama baba unachukua move gani?.

NB
Swala hili ni la kufikirika ukilinganisha na chelikari yetu.

Ndio unamtisha au? Yaani umejiunga na JF ili kuja kumtisha Dr Ulimboka!? Kalagha..baho!
 
Kama anaujua ukweli tofauti na tulivyoambiwa basi aseme anasubiri nini? Naanza kuchoka kusubiri.
 
Ukweli unaojulikana Serikali imeukataa.
Kama ni ukweli, hata kama serikali itaukataa, utabakia kuwa ukweli. Swali ambalo limeibuka akilini mwangu baada ya kusoma uzi wako Gooogle ni kama je, Ulimboka alituambia ukweli?
 
Last edited by a moderator:
jamani ma moderator kamateni hii mutu,inachafua hali ya hewa,ni zaidi ya dhaifuuuuuu!
Hao Moderators wako wenyewe ndio Dhaifu nambari moja au watakua wanakula na CCM. Nilishawahi kuandika thread 'Who is Ramadhani Ighondu'?. waulize waliipeleka wapi?!!. Kama ukweli wenyewe unamuhusu JINI (Mtu asiye-exist) unawezaje kusema huo ndio ukweli?!!.
 
Kama ni ukweli, hata kama serikali itaukataa, utabakia kuwa ukweli. Swali ambalo limeibuka akilini mwangu baada ya kusoma uzi wako Gooogle ni kama je, Ulimboka alituambia ukweli?
Rama ndio nani??!! ana exist wapi?!! Ikulu gani?!?!. Wanaharakati wako wapi wakamshtaki huyo bwana kama polisi wanasuasua
 
Kama ni ukweli, hata kama serikali itaukataa, utabakia kuwa ukweli. Swali ambalo limeibuka akilini mwangu baada ya kusoma uzi wako Gooogle ni kama je, Ulimboka alituambia ukweli?
Ulimboka alituambia kilichotokea. Watu wengi siku hizi wanafanya kazi ikulu na usalama.. Kwani hata ukipita baa si utawasikia tu kwa tambo zao. any way alichokisema ulimboka kinaweza kikawa cha kweli kabisa.
 
Itanichukua miaka mingi kuelewa hii thread labda iandikwe upya
 
Dogo/Kubwa, Una muda hujaangalia Muvie za kusisimua (za kii-intelgencia) au kupata kusoma conspiracy stories,
Ukaona jinsi ukweli unavyoweza kupindishwa kwa kutumia nguvu ya dola.
Bahati nzuri huwa ni sinema na lazima ziwe na happy ending, but kuna conspiracy theories/stories ambazo ukweli unafichwa kwa zaidi ya miaka.
 
watz tupo kwenye vita mbaya. killing silence.Kuwafanya watu wasipate huduma za msingi ni vita maana watakufa na utaendelea kutawala ardhi isyo na binadamu, that why mataifa makubwa yanapenda ustawi wa watu wao kwani ndio wajenga nchi, walaji na wazalishaji unless ni heri turudie enzi za akina Kinjekitile.
 
Back
Top Bottom