Elections 2010 Usitafakari, Utaingia Mstuni alhahi!!!

Elifasi

Senior Member
Nov 1, 2010
180
5
Natafakari, najipa jibu kisha najichukia kuwa Mtanzania. Hapa tunashutumiana: mara CHADEMA TUMECHAKACHULIWA.....mara CCM tutaongoza milele... mara hata nyie mkipewa mtafisadisha. Lakini swali LI PALEPALE: kweli wakikabidhiwa dhamana (udiwani, ubunge, Ukikwete) wananuia kumkomboa Mtanzania wewe (ikimaanisha kuanzia tandahimba, mpaka chamtigiti, mpaka Mahandakini, mpaka liwale, hata Jozani?) au wananuia kujineemesha kama wale wa NGOs waliohamishia ela za wafadhili (ODA) pale mbezi beach, na vijisent kule UK, huku waki-GRAB kila chenye senti kujilimbikizia, nk? USISHEREHEKEE KUCHAKACHULIWA KWA CHADEMA. HATA WEWE CCM UMECHAKACHULIWA. Chama chao hicho. tena sa ivi ni cha FAMILIA (1st family), sio ata cha MAFISADI! SEMBUSE WEWE?! Usitafakari, utaingia mstuni!:peep:
 
Ulishawahi kujiuliza, kama lengo la wanasiasa wa vyama mbalimbali ni kumuinua mwananchi mwenye hali duni....kwanini wao kwa wao wanagombana wakati lengo ni moja? Ukipata jibu utakuwa umefahamu endepo siku CCM ikitoka madarakani ndiyo mwisho wa shida zetu ama ndiyo mwanzo wa Ubepari Mpya....tafakari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom