Usishuke chini

Badili heading "KUSHUKA CHINI" unakujua kwa maana pana?
Uvinza inahusuika
 
its human nature kufanya vitu vitu tunavyoambiwa tusifanye...tangu enzi za adam na hawa mpaka leo, ndo maana wote tumeshuka chini hehehehhehe kweli tuna moyo
 
Halafu wewe Excellent, kumbe ulikuwa huko juu. Nimesikia sauti yako kwa mbaaliii, mie nlikuwa hukuhuku chini, nkawaona watu wanashuka tuu. Njoo sasa na wewe huku chini tumalizie kinachofuata. Hawa walioshuka wanatutosha
 
Last edited by a moderator:

bombu kumbe na wewe upo chini,watakoma
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom