Usishangae hizi ndizo nursery za siku hizi,sio kama zile tulizosoma sisi...embu ona:

kuna mtoto mmoja anasoma grade 4 hizi shule za st.nani cjui. hajui numbers kwa kiswahili,ukimuuliza eighty kwa kiswahili hajui. nikashangaa sana.
 
kubwa kuliko...
ataishi nchi gani?
 
Back
Top Bottom