Usiri wa kikao cha UvCCM Zanzibar

Taarifa nilizozipata sasa hivi zinadai kuwa hakukuwa na agenda maalum ya mkutano huo. Waalikwa walipewa nafasi ya kujadili mwelekeo wa nchi, wapi tulipotoka, tulipo na tunapokwenda. Ni kwqeli kuna mashaka makubwa sana hasa pale orodha ya waalikwa inapotajwa hadharani, kwani karibu wote ukiwachambua utaona ni wale wale tu waliojeruhiwa na kisanga cha ufisadi kwa namna fulani, sisemi wote, lakini wengi wao ktk retreat hiyo.
 
Kinvaba, maswala mengi ya kujiuliza ni kuwa ni kwanini Ikulu ilikuwa na mtu specific?

Rostam alikuwa ndio mfadhili mkuu wa kikao hiki na ushahidi upo , taasisi unayosema kuwa ya Kimarekani haikuhusika kwenye kongamano hilo.

Tukio hili walijaribu kulifanya kuwa ni la siri sana sana ila wameshindwa kwani vijana ambao wameachwa ambao ni masikini wamejikuta wakilalamikia wao kuachwa bila maelezo ya aina yeyote ile ya maelezo kutolewa kwao, wengine ni watendaji wa chama ngazi mbalimbali ila hawakualikwa kuhudhuria.
 
Back
Top Bottom