Elections 2010 Usipotoshe wadau tafadhali

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Kuna mwana JF katoa taarifa kuwa kamDr.slaa akishinwa basi mikoa ya shinyanga Mwanza na Tabora itakuwa imechangia, lakini napenda nimtahadhalishe kuwa mikoa aliyotaja tayari ilishawahi kukaa chini ya upinzani vinginevyo hana kumbukumbu nzuri za mfumo wa vyama vingi Tanzania, Akumbuke kuwa;
o Mzee mapesa ameanza kuwa mbunge wa magu-Mwanza 1995,
o Bariadi-shinyanga imewahi inaendelea kuwa chini ya upinzani
o Kisesa-Shinyanga imewahi kuwa chini ya UDP na Erasto tumbo
o Urambo-Tabora imewahi kuwa chini ya NCCR –Mageuzi
o Maswa imekuwa chini ya CHAUSTA ktk kata zake mbili tangu 1995-2010
Ni vema tukaandika taarifa based on informed data and not otherwise.
Shinyaga ni sehemu chungu sana kwa mwaka huu hata chama tawala hakijagusa huwezi kuamini ni Dr.Slaaa pekee ndo kagusa kwani anajua siri iliyoko shinyanga hiyo ni HIMAYA YA BOB NYANGA MAKANI-usipime
Usidanganye ndugu: changuza utabaini mjomba
Taja maeneo kama singida dodoma just to mention but few

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom