Usipoangalia haya yanaweza kukuondolea unadhifu wako

Hiyo inabidi tufanye kongamano bishosti! Mwl ni ashadii, shurti kuna kamwendo kake sio kama unachechemea ama unashuka mlima. Na mrindimo wa wowowo unahusika, lol!
Ha ha ha, kucha na high heels umenimaliza. Tunaomba twishen ya kutembelea
 
  • Kuvaa mkanda wa plasitic,
  • Mshati yenye picha picha,
  • kuwa na nguo inayoonyesha ishara ya mti wa bangi,
  • Viatu vilivyoisha sole na kwenda upande,
  • Kuvaa suti yenye rangi mbili,
  • Kuwa na wallet mbovu iliyochakaa,
  • Kuvaa suti na sandals
  • Kuvaa cheni fake,
  • Kuvaa mipete zaidi ya moja kwenye mkono tena fake!
  • Kuweka makalamu mengi kwenye mfuko wa suti.
  • Kutembea nakitambulisho nje mazingira yako ya kazi,
  • Kuvaa kamba yenye flash disk hadi kwenye ma baa
  • Kuwa kwenye baa na kuanza kuwasha laptop

Mengine endelezeni

Hahaaaaaa kaka umegusa safiii sanaaaa.....binafsi huwa vinanichefua!!
 
Lol! Ngoja nidigest hizi:
Wadada:
Fake nails that looks really fake (unless u ar a model ama muigizaji)
Wigi kama la joti (limechachamaa kama steelwire)
Kuvaa viatu vireefu usivyoweza kutembelea,u end up kutembea kama unachechemea
Kuvaa nguo fupi kuliko unavyoweza kuwa comfortable na kuishia kuivuta kila saa
Kuvaa teitei na sarawili inayochora mistari (especially kama unakuwaga na bad pant day,lol)
(FF atakuja kumalizia)

Hahaaaaaa mmenigusa leo.....gooood point! Hlf hao wadada wanajiona wao ndio wenyewe kudadadeki uwiiii
 
Jamani mmesahau kitu muhimu! Kucheka mbele za watu huku una kisamvu au uju wa ulezi kwenye meno. Kunuka mdomo. Kua na kucha ndefu zenye uchafu ndani mithili ya mtu aliyelima kwa mikono. Kuvaa singlet wakati mivuzi ya kwapa ina ukoko. Kuvaa undersketi ndefu kuliko sket au dress. Kua na matongotongo machoni
 
kuzungumza na simu kwa sauti kubwa mambo yako binafsi

utasikia eti 'haloo niliagiza mpike pilau,mmeshapika?' lol
Au asee ndio nimetoka bank sasahivi, tayari nimedeposit ile ten milion...lol . Hapo anaongea kwa sauti utadhani anahutubia mkutano wa hadhara.
 
Mi nikiyaona tu hayo mawigi nahisi yananuka jasho! Kha! Kwani mtu kama akinyoa dongo incase hajajaaliwa nywele itakuaje? Hehehe!

Lol, mke mwenza vaa hiyo hiyo pea moja original...

Afu mke mwenza vipi kuhusu kushonea weaving used? Unakuta mtu anahangaika kupaka pink lotion lakini wapi..
 
  • Kuvaa mkanda wa plasitic,
  • Mshati yenye picha picha,
  • kuwa na nguo inayoonyesha ishara ya mti wa bangi,
  • Viatu vilivyoisha sole na kwenda upande,
  • Kuvaa suti yenye rangi mbili,
  • Kuwa na wallet mbovu iliyochakaa,
  • Kuvaa suti na sandals
  • Kuvaa cheni fake,
  • Kuvaa mipete zaidi ya moja kwenye mkono tena fake!
  • Kuweka makalamu mengi kwenye mfuko wa suti.
  • Kutembea nakitambulisho nje mazingira yako ya kazi,
  • Kuvaa kamba yenye flash disk hadi kwenye ma baa
  • Kuwa kwenye baa na kuanza kuwasha laptop

Mengine endelezeni

kupaka kiwi(mapouuuuuda) uso mzima hata ukiukwanguwa unatoka kiganja kizima lol
 
Lol! Ngoja nidigest hizi:
Wadada:
Fake nails that looks really fake (unless u ar a model ama muigizaji)
Wigi kama la joti (limechachamaa kama steelwire)
Kuvaa viatu vireefu usivyoweza kutembelea,u end up kutembea kama unachechemea
Kuvaa nguo fupi kuliko unavyoweza kuwa comfortable na kuishia kuivuta kila saa
Kuvaa teitei na sarawili inayochora mistari (especially kama unakuwaga na bad pant day,lol)
(FF atakuja kumalizia)

teeh!teee!duh!hii imekaa vizuri
 
Mi nikiyaona tu hayo mawigi nahisi yananuka jasho! Kha! Kwani mtu kama akinyoa dongo incase hajajaaliwa nywele itakuaje? Hehehe!
Hapo sasa, mtu anakazana kujiwekea minywele ya bandia afu anajishongondoa, watuachie wenye nywele zetu asilia bana..lol..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom