Usipoangalia haya yanaweza kukuondolea unadhifu wako

Kwa wadada kuvaa viatu vya plastick a.k.a yebo yebo, kuvaa macheni na mahereni ya wamachinga!
 
Kuvaa koti la suti/blazer bila kutoa label!
Kuvaa nguo ya ming'aro mchana
Kupaka eyeshadow inayong'ara mchana jua kali
Kuvaa nguo zisizonyooshwa.

Waarabu na ming'aro saa saba, eyeshadow colour combo(jicho moja lina njano, papo, red, blue, samawati), hudhuria harusi zao utanielewa.
 
  • Kuvaa mkanda wa plasitic,
  • Mshati yenye picha picha,
  • kuwa na nguo inayoonyesha ishara ya mti wa bangi,
  • Viatu vilivyoisha sole na kwenda upande,
  • Kuvaa suti yenye rangi mbili,
  • Kuwa na wallet mbovu iliyochakaa,
  • Kuvaa suti na sandals
  • Kuvaa cheni fake,
  • Kuvaa mipete zaidi ya moja kwenye mkono tena fake!
  • Kuweka makalamu mengi kwenye mfuko wa suti.
  • Kutembea nakitambulisho nje mazingira yako ya kazi,
  • Kuvaa kamba yenye flash disk hadi kwenye ma baa
  • Kuwa kwenye baa na kuanza kuwasha laptop


Mengine endelezeni
Kuwa na wanawake/wanaume zaidi ya mmoja.
 
kuzungumza na simu kwa sauti kubwa mambo yako binafsi

utasikia eti 'haloo niliagiza mpike pilau,mmeshapika?' lol
 
Kuongea huku unarusha mate kama mvua
Kuongea na chakula mdomoni na kwa kujiachia michele inaruka kama machine ya kukoboa
Kutafuna chakula kwa sauti afu mdomo wazi kama nguruwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom