Leak JF-Expert Member Feb 22, 2012 52,176 41,990 Dec 13, 2014 #221 The Boss said: kujaribujaribu nguo za mitumba zinazopitishwa na wamachinga lol Click to expand... Daaa noma sana!
The Boss said: kujaribujaribu nguo za mitumba zinazopitishwa na wamachinga lol Click to expand... Daaa noma sana!
mandinka Senior Member Apr 21, 2014 186 37 Dec 13, 2014 #222 Kujifanya unasoma vitabu kwenye public car afu huku unasikiliza mziki masikioni
captain26 Member Sep 22, 2014 15 2 Dec 13, 2014 #223 Pia na wale wasio swaki namaanisha nakunuka mdomo
MankaM JF-Expert Member Apr 20, 2013 9,448 3,051 Dec 13, 2014 #224 Mdada uko na highheels unayumbayumba... Umepiga kimini cha hatar ni shida barabaran huo ni utoto
KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,574 8,592 Dec 14, 2014 Thread starter #225 Kupenga kamasi na mikono kisha ukajipangusia katika nguo zako!
Code Breaker JF-Expert Member Mar 2, 2014 1,019 445 Dec 14, 2014 #226 Kuvaa kitop wakati una kitambi!!!! Kutokuvaa vest halaf unainamainama kuonyesha asset..