Usipite polepole daraja la Kawe; kuna majambazi

Hapo Darajani ni kambi ya Waheshimiwa wa NGUVU TISA AKILI MOJA bila shaka wakikosa kupora magari wanahamia maduka ya karibu na hapo na kupora na utashangaa hawakamatwi hata siku 1

Duh... Hii kali.!
 
Kuna wataalamu wa kufungua nyuzi za kitambo humu..!,
BTW; pdiddy zamani ulikuwa unaandika vizuri tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom