Usiombe kukutana na mpenzi mdekaji!

Menadeka kwel lkn huynnae mdekea,naehadome bs karaa tupuuu
Davina, haki ya Mungu vie sijakuelewa, hebu tutafsirie basi kama ulikuwa na maana gani mwenzetu.....................!
 
He he he, ungejua namdekeza hadi anaogopa
Sijui kakulia Tandale
Ukimdekeza na kumpenda analala na suruali
ila wewe siku ya kukucheza ngoma inabidi tuhamie gereza la ukonga miezi sita!
tukuchemshe na viungo hadi ukolee, msitu wa mabwe pande utamalizika, kha!
kupika hujui:smash:, kudekeza sifuri!:rant:
 
Dingi:
Kupenda kufanyiwa kila kitu bila kufanya ni UVIVU
Kutaka unavyotaka hata kwenye mazingira magumu ni UBINAFSI
Raha ya KUDEKA ni KUDEKEZANA, u give some u get some.
Spoiled brat sio sawa na anayedeka...


Thank you Mkuu! :):)


 
Last edited by a moderator:
DUH wengine tnapenda wanaodeka na kama mwanaume udekezi lazima si wenye swaga zetu tukutafunie yani we utakua unapga mswaki bila whitedent ndo nyie mnao pigiwa simu afu unangalia salio kama umepiga wewe vile. usiwaze jifunze kudekeza
 
Huyo mzuri hivyoujakutana na yule unarudi nyumbani unavua nguo ukienda bafuni unarudi kutoa buku unakuta akuna kitu amesafisha mpaka na ya mkate asbh..weee huyo mkumbatie mpwa
 
Back
Top Bottom