Usiombe ikukute.....

gudboy-5326

Member
Nov 7, 2011
8
1
ndani ya chumba cha mtihani,, pepa ndo imeshakugonga....... lecturer anaekusimamia juzijuzi 2 ametoka kugundua kuwa unamnyokoa binti yake
 
ndani ya chumba cha mtihani,, pepa ndo imeshakugonga....... lecturer anaekusimamia juzijuzi 2 ametoka kugundua kuwa unamnyokoa binti yake

Kwani kama hajakugundua kumnyokoa huyo binti yake ange/ungefanya nini? Sijaelewa connection ya pepa kukugonga na lecturer kugundua kumnyokoa binti
 
Jamaa ni kilaza,sasa alikuwa anataka kutazamia na kucheat.sasa anajua akikamatwa kafa.Ukweli tegemea akili zako Mtihani utatazamia je kazini utagezea wapi?
 
Back
Top Bottom