Usiogope ukubwa wa samaki.....

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Bosi mmoja alipata sekretari mrembo mno.>>Wiki ya kwanza bosi akamhonga yule sekretari simu ya laki 8.>>Wiki ya pili bosi akamnunulia seti ya sofa ya milioni 3.>>Wiki ya tatu bosi akamhonga yule sekretari gari ya milioni 8.>>Mwisho wa mwezi,bosi akamwomba yule sekretari akalale naye kwa usiku mmoja katika 5 star hotel moja.>>Yule sekretari akajibu;haina shida hata kama wewe ni bosi na una pesa nyingi,nitakufanyia bei ile ile ambayo huwa nawapangia wanaume wengine wote.....gharama yangu ni sh.5000 kwa usiku mmoja!
 
Back
Top Bottom