Usinichoke Fidel80

Fidel80 usibadili mwelekeo mpaka tugonganeeeeeeeeeeeeee!!
We meet kwanza then ndo ubadiliiiiiiii
LOL

ha ha ha ha!!!!!!!! kwenye red, mgonganeje?????:confused2:
Iteitei Lya Kitee Ushindwe na Ulegee kwa kutaka kumpotosha kondoo wa bwana.:violin:
 
Rafiki yangu Fidel80
Habari ya kaunta na nyumba ndogoMungu akusaidie ubadilike.
 
ha ha ha ha!!!!!!!! kwenye red, mgonganeje?????:confused2:
Iteitei Lya Kitee Ushindwe na Ulegee kwa kutaka kumpotosha kondoo wa bwana.:violin:

Hapo Mkuu Fidel anakazi maana aliambiwa apande kitandani wakatia anajifikiria kupanda kitandani akatokea Iteitei anamwambia apande kwenye kitanda chake sasa ili kuondoa ugomvi tafuta kitanda cha kingsize halafu wewe ulale katikati kushoto Iteitel kulia Chloe hapo utakuwa umemaliza ugomvi :becky::becky::becky::becky:

Ila hatuwezi kukupoteza kwenye CHAMA tunataka UVUNE WANACHAMA WENGI ZAIDIIIIIIIIIIIIIII
 
Chloe,ajabu ni kwamba nami nimepata maono kama yako ila tofauti iliyoko Bwana anasema akitoka uvunguni asiende kitandani aende sitting room ili kuepusha vishawishi vya haraka.
 
i hope akipita ataipata hii habari.:couch2:
 
Hapo Mkuu Fidel anakazi maana aliambiwa apande kitandani wakatia anajifikiria kupanda kitandani akatokea Iteitei anamwambia apande kwenye kitanda chake sasa ili kuondoa ugomvi tafuta kitanda cha kingsize halafu wewe ulale katikati kushoto Iteitel kulia Chloe hapo utakuwa umemaliza ugomvi :becky::becky::becky::becky:

Ila hatuwezi kukupoteza kwenye CHAMA tunataka UVUNE WANACHAMA WENGI ZAIDIIIIIIIIIIIIIII
:gossip: ngoja kwanza nimuulize Iteitei kama atakubali, maana hapo mapambio yatakuwa si ya kitoto he he he he he!!!
 
Interesting.......kampeni ya shuka Kwa shuka imeanza....good for u ICPC!
 
Hivi inawezekana ukawa mwanachama wa chichiemu lakini ukapigia kura chadema?nauliza tu...
 
hahahahaha!
HABARRR YAKO CHOLE BREIN..........................!
:llama::llama:
 
Back
Top Bottom