Usinichoke Fidel80

Kha! vingine naweza kubadili lakini hapo juu mmmh :confused2:
Nasubili maombi ya Rev. Masanilo
Huyu ni mwanamaombi wa ISC kwahiyo tegemea kupata jibu zuri

Nasubili ushauri wa Asprin je upo tayari nipotee kundini?
Mwanachama na kiongozi hawezi kukushauri utoke nje ya kundi

Nasubili baba wa infidelity papaa Teamo
Nimeongea nae kwenye :phone:amesema usifuate nyayo za kina KIYABO wa CCJ huko hautadumu milele

Namsubili mtaalamu mwenyewe Kaizer
Anamalizia kuandaa mwongozo ambao utakupa majukumu mengi zaidi

Na wengineo jamani huu ushauri kwa kweli mgumu.
Wanasema vyama pinzani havidumu mifarakano ya kugombania madaraka haishi bora ukae tu hapa hapa uendelee kula pensheni yako
 
najua utakuwa unaona kama nakubore au nakusumbua sana but naomba tu unielewe kwamba ni roho wa bwana amenena ndani yangu kwamba nikushawishi uachane na habari za kaunta(valuu), uachane na habari za nyumba ndogo make naona umepewa na cheo cha "Mshauri mkuu wa hicho chama" Fidel80 naomba uwe flexible na ukubaliane na mabadiliko haya ikibidi hata hiyo location yako ubadilishe, yaani utoke huko UVUNGUNI uhamie KITANDANI labda au SITTING ROOM.:pray:
ni rafikiyo kipendhi Chloe!!!!
(sorry kwa niliyemkwaza kwa hii post)

Dah hadi vidole vya mguuni vimesisimuka
 
hivi Fidel80 ulishaoa?
 
:confused2::confused2: NGOJA NIKU :A S 100: manake naona maneno hutanielewa vizuri. Hii thread ni tishio kwa chama!:confused2::confused2:

Hahahah....
Na bado tunaandaa maangamizi ya kutosha tu dhini yenu!
 
najua utakuwa unaona kama nakubore au nakusumbua sana but naomba tu unielewe kwamba ni roho wa bwana amenena ndani yangu kwamba nikushawishi uachane na habari za kaunta(valuu), uachane na habari za nyumba ndogo make naona umepewa na cheo cha "Mshauri mkuu wa hicho chama" Fidel80 naomba uwe flexible na ukubaliane na mabadiliko haya ikibidi hata hiyo location yako ubadilishe, yaani utoke huko UVUNGUNI uhamie KITANDANI labda au SITTING ROOM.:pray:
ni rafikiyo kipendhi Chloe!!!!
(sorry kwa niliyemkwaza kwa hii post)

Sasa itabidi niokoke kwa muda
 
ROFL! kibali cha kutotumia mipira ulikipatia wapi? Hicho kwa mujibu wa kanuni lazima kisainiwe na viongozi waandamizi:becky::becky:
Ah nilisahau kuwa kuna mipira ya bedtenis, lakini this time nakuhakikishia kosa hilo sitalirudia tena. nitahakikisha kuwa mshauri utakayemtuma hayupo kwenye danger days ili kuondoa ushahidi.
Ntajitahidi kutumia mpira kama wafanyavyo washauri wetu yaani kuivaa kidoleni na kudoou
 
Sasa itabidi niokoke kwa muda

Amen!! tuone na matendo pia...fuatilia maombi ya TB Joshua from Nigeria lengo lako la kuokoka litazaa matunda...na valuu ukisikia hata harufu yake utatapika mpaka mautumbo...all the best...
 
Avatar yako na maneno yako haviendani unafaa kuwa ISC
 
Ushauri mzuri kama ilivyo avatar yako...
 
Avatar yako na maneno yako haviendani unafaa kuwa ISC

Kwa nini mkuu! unajua hata kwenye bible imeandikwa wapeni masikini mvinyo kidogo wasahau shida zao...kwa hiyo kuiacha hii kwangu inakua ngumu...atleast hata toti mbili tatu ndio usingizi natapa...ila Fidel80 yeye kwa sababu naona mambo yamemzidia anataka apumzike kidogo aangalie mambo yatamwendeaje...wa sababu amezidiwa...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom