Usinichafue Mie-Mchafu Wewe!

Sura-ya-Kwanza

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
566
10
Kwa kweli sasa Siasa zinapamba moto... Wakati 2010 haiko mbali, wana itikadi wadai- Wanawake, Vijana na Wazazi wa CCM ni Wachafu mno...:eek:

Wanalumbana kusivyo.

Hivyo, marufuku kumchafua Kijana, Mwanamke au Mzazi wa mwana CCM!

Kwa habari Zaidi Bofya hapa...

Nafikiri Siasa itakuwa haina moto kama sitaweza kuwachafua wenzangu--Hautakuwa mchezo mzuri kuwa sopu sopu saa zote.

Au vipi Wasafi Wenzangu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom