Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
jamani mwenzenu sina usingizi umekata kabsa nisaidien kunibembeleza
Njoo ubembelezwe!
Tupo wengi...
Duh usichanganyikiwe hata unampenda sana trey song niniJaribu maziwa ya moto. A hug can help too. lol
Mmmhh? mbona avatar ya Trey Songz?
Unataka kunichanganya akili?
Ndio nampenda sana Trey Songz, yeye kama artistDuh usichanganyikiwe hata unampenda sana trey song nini
Ndio nampenda sana Trey Songz, yeye kama artist
Na pia kuna member mnbine anatumia avatar yake...
Nilikutwa nampenda Trey Songz.that is good,i think umempend Trey kwa ajili ya huyo member
Nilikutwa nampenda Trey Songz.
Na ile avatar imeongeza tu kiwango
Hauja pata usingizi hadi sasa?
eeeh, Kumbe umejivua gamba? lolMwali mi bado sijapata usingizi,unanifahamu ila naona nilivyobadili id hujagundua tu
Lala mtoto mzuri eehee sawa baby na hakikisha umeshusha neti kesho nitakuletea zawadi nzuri sawa.jamani mwenzenu sina usingizi umekata kabsa nisaidien kunibembeleza
hahahahhaa unanifaham sana wala usijali,aisee nimejivua gamba.now naona usingizi unakuja heri nilale wangueeeh, Kumbe umejivua gamba? lol
Haya basi, tuendelee na interaction,
nitakujua tu (if we interacted before)