Usimwambie mama yako...

Wa Nyumbani

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
438
65
Baba alimwambia mtoto wake, chukua hii sh. 500/=usimwambie mama yako kama nimelala kwenye chumba cha house girl.
Mtoto akasema, "Baba wewe ni bahili sana, mbona mama alinipa sh. 1000/= aliponiambia nisikwambie kuwa amelala chumba cha dereva?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom