Usimfanye mkeo raha akazitafute nje ya ndoa!

unajuaje labda tunaenda kuchukua ujuzi huko nje na kuuleta ndani... lol

Mkuu nimekusoma..............
Lakini ndo yale yale siku zote huwa tuasikia,
mwanamke akijaribu kuonyesha maufundi yake,
ambayo awali hukuyaona, baba nae anaweza akaanza kuhoji.....................
 
..........hii ilikuwa ni kauli ya Kungwi mmoja maarafu,
mjini DSM;alikuwa akimfunda binti na kisha akawageukia na akina baba/wanaume,

Akazidi kusema......................

''Nawaambia akina baba/wanaume mkome kuwafanya wake zenu,
kuwa dada zenu, utundu na ufundi wote mwaupeleka kwa mahawala,
matokeo yake wake zenu wanaanza kutoka nje ya ndoa.''

Akazidi kusema...........................

''Wewe mume usimwonee huruma punda kwani kupigwa bakora,
ndiyo furaha yake, kama gari kanyaga mpaka chini,
hakuna aliyewahi kutoboa eksileta kwa kukanyaga mafuta.''

Wapendwa wanajamii wenzangu, habari ndo hiyo,
sijui nyie mwasemaje?
Mie nilibaki natikisa kichwa tu!!!!!!!!!!!!!!!!
MBARIKIWE SANA!!!!!
well said
mke sio dada mtu (sishangai huyo kungwi kuwaza hivi manake ni mtu wa Pwani-ngono first)
 
Kuna shda kubwa sn kwenye haya mambo. Utakuta mwanamke anahudhura kila kitchen-party, lkn akija ndani amechoka mbaya na hana mpango na mtu.. Hiz shughuli zmekaa kimaslaha zaidi.
 
Kuna shda kubwa sn kwenye haya mambo. Utakuta mwanamke anahudhura kila kitchen-party, lkn akija ndani amechoka mbaya na hana mpango na mtu.. Hiz shughuli zmekaa kimaslaha zaidi.

Sasa Paka Jimmy ndo utuambie hapa,
kinachowachosha ni nini mara tu wanapoingia ndani?
 
Mi nashanga, ma ujuzi yote kwa hawara zenye rutuba zote unamwaga huko nje ndani unaleta iupepo tu, hamuoni hamtendi haki? kwa kweli mie namsapoti huyo kungwi maana wababa wengi wamejisahau sana kuhusu swala zima la kuwapa dozi wake zao, tena kama ndio anae wa pembeni anaweza kukupaa za uso hata mwezi mzima, hapo mdada akitoka analaumiwa nini sasa, binafsi sipendi na sitetei mwanamke au mwanaume kutoka nje lakini kuna situation inatokea inambana muhusika anajikuta keshatoka

you are very right.......
 
Hivi Aisha mambo ya malavidavi,
huwa ni kwa watu wa Pwani tu eeeeh?
Wa Bara sie hayatuhusu lol......kazi kweli kweli!!!!!!!

We acha tu ndugu yangu,
kwa watu wa bkb hayo mambo wamekuja kuyajua wameishaingia ktk ndoa zao make kule hata kitchen party hazikuwepo walikuwa wanaona kama wanawafundisha ufusika
 
We acha tu ndugu yangu,
kwa watu wa bkb hayo mambo wamekuja kuyajua wameishaingia ktk ndoa zao make kule hata kitchen party hazikuwepo walikuwa wanaona kama wanawafundisha ufusika

Sasa Aisha unasemaje hapo,
ni kweli akina baba wanapendelea kupeleka ufundi,
na maujuzi yote nje?
 
Unachokifata nje umekiacha ndani mie ndo napochoka kabisa Ehh Mwenyezi Mungu nisaidie niendelee kumpenda mke wangu na kumuheshimu nisitoke nje ya ndoa
 
..........hii ilikuwa ni kauli ya Kungwi mmoja maarafu,
mjini DSM;alikuwa akimfunda binti na kisha akawageukia na akina baba/wanaume,

Akazidi kusema......................

''Nawaambia akina baba/wanaume mkome kuwafanya wake zenu,
kuwa dada zenu, utundu na ufundi wote mwaupeleka kwa mahawala,
matokeo yake wake zenu wanaanza kutoka nje ya ndoa.''

Akazidi kusema...........................

''Wewe mume usimwonee huruma punda kwani kupigwa bakora,
ndiyo furaha yake, kama gari kanyaga mpaka chini,
hakuna aliyewahi kutoboa eksileta kwa kukanyaga mafuta.''

Wapendwa wanajamii wenzangu, habari ndo hiyo,
sijui nyie mwasemaje?
Mie nilibaki natikisa kichwa tu!!!!!!!!!!!!!!!!
MBARIKIWE SANA!!!!!

Nimeipenda hii.
 
Unachokifata nje umekiacha ndani mie ndo napochoka kabisa Ehh Mwenyezi Mungu nisaidie niendelee kumpenda mke wangu na kumuheshimu nisitoke nje ya ndoa

sounds good.....................
keep it up................
 
Jamani, ni kweli wakina baba wanajisahau sana, matokeo yake wanawake wanakwenda kutafuta raha kwa mahawara (SOME OF THEM ARE MARRIED MEN).

What I have learn, new love (hawara) is very exciting, you can not compare with your spause!

Enyi wakina dada wenzangu, wakumbusheni waume zenu... kama unavyodai khangam basi dai na kukumbusha haki yako, by the way, magonjwa mwengi sana siku hizi....
 
Back
Top Bottom