<br />men's perspectives...comments zenu zimenifundisha kitu kikubwa sana, asanteni. eid hii mshibe kwa macho.
huyo wa kushoto mwenye pinki.............................
madungayembe ya wapi haya?
Huyo wa kushoto mwenye pinki.............................
nyaningabu na we umo! tehe tehe!
Hahahahaaaa kwani red bottoms ziko copyrighted au trademarked?
Nimo kivipi? Kwenye kupenda totoz?
wa pili kutoka kuliaHuyo wa kushoto mwenye pinki.............................
wa pili kutoka kulia
Hebu mwaga hicho kitu japo kwa uchache tusikie....
lakini inaonekana wametumika tumika