usilete u-mwanaasha wako....

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,137
27,088
jf kwa vituko, baada ya Masaburi kuvuma vilivyo, sasa wameanza kumhusisha Mwanaasha K na ukilaza....aaah ebu toa umwanaasha wako hapa...
 
kucheka mcheke nyie tu tukicheka sie twaambiwa tunazomea mwacheni mtoto wa wenyewe kwa taarifa yenu huyo ndie spika ajaye baada ya miaka 15

nchi chini ya spika mwanaasha? Nahama nchi
 
Hahahaha, Jf haiishiwi Swaga hata siku moja, nyingine kibao zaja, stay tuned...
 
Haahahahaha,hhahhahahaha hahahhaa,
Nyie watu nyie dah!
hahahahah hahaha!
Nacheke ninenepe mie lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom