Usile mikate, maanadazi, wala egg chops, nk! Wameshakufa watu wawili

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
Ni sms inayosambaa kwa kasi jijini Dar na mikoani. Nimeinakili kama inavyosomeka ktk heading.
 
niliona habari kwa tv wakiitaja Royal Oven - sikuwa nimeipata vizuri. Kuna mtu mwenye details?
 
Sio yote ina sumu,suala ni kuangalia ubora wa mikate na vitu vingine kabla hujatumia.
 
Kama ni EGG CHOPS je ni mayai gani? Ni mayai ya kienyeji au ni mayai ya kisasa? Hembu kamilisha huu ujumbe tuweze kuuelewa!
 
kuna bakery moja ukivuka daraja la kawe (kama unaelekea kawe kutoka mikocheni) kabla ya kufika round about, ipo mkono wa kulia imepakwa rangi za njano njano hivi, kama ndio hii basi sitashangaa b'se kuna siku ndugu zaku walikua na kajimkutano flani wakanunua bites pale, wote waliumwa sana na matumbo baadhi yao walilazwa kabisa hospitali, ila tunamshukuru Mungu wote walipona
 
ni ugonjwa unaosababishwa na mayai ya kichina!waliokula hayo mayai kupitia egg chop wamedhurika !mayai ya kichina hayatagwi na kuku hutengenezwa kwa mashine!
 
WHERE IS TANZANIA BUREAU OF STANDARD?AU NDO 10% KWENYE MAISHA YETU?MAYAI YA KICHANA YAKOJE HEBU MNAYOYAFAHAMU TUELEZANE:bump:
 
ni ugonjwa unaosababishwa na mayai ya kichina!waliokula hayo mayai kupitia egg chop wamedhurika !mayai ya kichina hayatagwi na kuku hutengenezwa kwa mashine!

kuna bacteria sugu nadhani wanaitwa salmonella
 
Ni habari za kweli kwani Carmel ameshaleta taarifa humu mnaweza kutafuta post yake.


Nadhani ni mtu anayemfahamu aliumwa baada kula kwenye hio bakery.


Badala ya kupuuzia ni vizuri mtu kujaribu kukaa mbali na bakery hio na kuwapa taarifa watu wako wa karibu.


Serikali kama imeshindwa kukwagua bidhaa ni jukumu letu kufahamishana hili tuweze kuokoa maisha yetu.
 
watu wawili tu ndio wanatengeneza hii generalisation?
embu acheni kutiana woga..
hii haina tofauti na wale ambao huwa wanaipeleka coca cola mahakamani wakidai wamedhurika baada ya kunywa coca wakati waliinywa pamoja na mavyakula mengine kibao....
hao waliokula hiyo mikate na egg chop walikula vikavu??kwanini sumu isiwe kwene hizo chai au juice walizonywea??
 
Hivi hata mayai yanakuwa imported from China????

ni ugonjwa unaosababishwa na mayai ya kichina!waliokula hayo mayai kupitia egg chop wamedhurika !mayai ya kichina hayatagwi na kuku hutengenezwa kwa mashine!
 
Back
Top Bottom