"usikubali,ukimpa hilo ni la nne".

dazipozi

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
1,137
106
Hahahahaha wacha ni cheke miye mtoto wa Pozi,nicheke ni nenepe ni Konde nina Mke?ebwana niaje wa Zee wa ChiTChaT?dah!kitambo kidogo sija Post maujanja humu.Ok hapa nimeshiba Urojo mwenyewe na Mirinda Nyeusi....Ok ngoja nije kwenye" POINT" ya "MSINGI"Dazi Pozi A.K.A Mzee wa Chabo yani nakwambia sipati Usingizi nisipo cheki binadamu wezangu wanapo faidi tunda la kati usiku,Yani siwezi lala nakwambiya,kama kawaida yangu cwezi kurudi home paka Giza li ingie.Njia Zangu ni zilezile vichochoro kwakwakwakwakwa....kicheko kidogo ok bandugu,Unajua kuna Muda Kidogo niliweka Pozi baada yakuwa na maombolezo kidogo ya mpwa wangu,nilimisi sana ili Zoezi hivyo nilijipanga nitakapo toka zangu Job inabidi nipite kwenye uchochoro nipige zangu Chabo ila Zenji uku wanaita kupiga Bodi,nikiwa Zangu kwenye uchochoro mmoja nikakuta dirisha liko wazi na mchezo ndo unaanza.Nilishuhudia kila kitu paka walipokwenda mapumziko na jamaa alikuwa anaonekana alikuwa na Uchu wa Fisi alipoomba gemu lingine mtoto wakike
 
Alianza kulalamika"Mpenzi nimechoka tatu hazikutoshi unataka la nne?"
"Mpenzi ndo kwanza la pili linalokuja la tatu".
"Muongo nakupa tu,lakini hili la nne".
"haki ya nani vile la tatu mpenzi."Wakati mwanadada anataka kutoa Mchezo nilijikuta namuonea huruma yule dada nakupaza sauti:"Usikubali,ukimpa hilo ni la nne."Mx
 
Kumbe unafanya kazi siku hizi?
Hongera kwa kuwa graduate uliyepata kazi kwa muda mfupi...
Kuhusu chabo zako,
NO COMMENT!
Mama aliniambia nikiwaona wakubwa wako uchi nitageuka jiwe...
lol!
 
Kumbe unafanya kazi siku hizi?
Hongera kwa kuwa graduate uliyepata kazi kwa muda mfupi...
Kuhusu chabo zako,
NO COMMENT!
Mama aliniambia nikiwaona wakubwa wako uchi nitageuka jiwe...
lol!

Hahahahaha Nasoma uku napiga kazi,Mx
 
Hivi wewe ni mwanaume mbona uandishi wako kama wa kike kike hivi. Sijui labda macho yanngu yana makengeza
 
Kumbe unafanya kazi siku hizi?
Hongera kwa kuwa graduate uliyepata kazi kwa muda mfupi...
Kuhusu chabo zako,
NO COMMENT!
Mama aliniambia nikiwaona wakubwa wako uchi nitageuka jiwe...
lol!
Hahahaha nimependa hiyo ya kugeuka jiwe
 
kamanda uko vizuri....unafaa kuwa mwandishi wa habari za udaku.
 
nimeipenda ID yako mtoto wakiume...sorry kwa kuchakachua udhiii
 
dazi pozi inabidi tuanzishe kundi la taarabu litaitwa jf mashauzi manake kwa mwendo huu mmmhhh
Hahahahaha wacha ni cheke miye mtoto wa Pozi,nicheke ni nenepe ni Konde nina Mke?
 
Alianza kulalamika"Mpenzi nimechoka tatu hazikutoshi unataka la nne?"
"Mpenzi ndo kwanza la pili linalokuja la tatu".
"Muongo nakupa tu,lakini hili la nne".
"haki ya nani vile la tatu mpenzi."Wakati mwanadada anataka kutoa Mchezo nilijikuta namuonea huruma yule dada nakupaza sauti:"Usikubali,ukimpa hilo ni la nne."Mx

Ayaaa!! umeunguza picha. Hawakukupiga kweli?
 
Back
Top Bottom