Usikubali kufanywa 'Bakora' ya wapendanao...!

ilikuwa km miez 4 hiv pamoja na ile ya kuzungushwa kabla jamaa hajarudi na kupiga goti ili asemehewe.

Mie bi dada nilimpenda coz hakuwa mtu wa vinyongo na alikuwa rahis sana kusamehe, nikataman niwe nae.

Mie mambo ya kula mzigo hayakuwa kipaombele saaaana!!!
si unajua tena hauwezi kuanza urafiki ambao unataka mtu awe mke uache kupiga muhuri wa certification kuwa the product is ok for use!!!!Hapa nilikuwa naangalia km product ni original au mchina product.

hehehehehe yani ndani ya miezi minne na kucertify mzigo juu...huyo atakuwa mrangi tu hawanaga hiyana wale,,,.na huyo jamaa wake atakuwa mrangi.. Wale wanawezana wenyewe
 
hehehehehe yani ndani ya miezi minne na kucertify mzigo juu...huyo atakuwa mrangi tu hawanaga hiyana wale,,,.na huyo jamaa wake atakuwa mrangi.. Wale wanawezana wenyewe

Mzee umevuka mpaka mzee! haya mambo yako mpaka Marekani. Unajua kwamba Rihana anahisiwa ni mjamzito na ujauzito huo unahisiwa ni wa Chris Brown. Unajua tangu "watengane" hawa watu kuna watu wangapi wamekuwa wakijitahidi ama kupata penzi la Rihana au Chris Brown?

Achana na kutaja taja makabila ya watu hayasaidii kuuona ukweli!!
 
Lol! Amegusa penyewepenyewe eeh? Nyumba ndogo hata ijitutumue na arv kamwe haiwezi kugrow into nyumba kubwa, ebooo!

hahahaha hujakutana na ile bajaji imeandikwa nikikua nataka kuwa scania?? kuna moja moja huwa wanafanikiwaa.. hasa za kitanga
 
Mzee umevuka mpaka mzee! haya mambo yako mpaka Marekani. Unajua kwamba Rihana anahisiwa ni mjamzito na ujauzito huo unahisiwa ni wa Chris Brown. Unajua tangu "watengane" hawa watu kuna watu wangapi wamekuwa wakijitahidi ama kupata penzi la Rihana au Chris Brown?

Achana na kutaja taja makabila ya watu hayasaidii kuuona ukweli!!

no hard feelings man,.. I was talking from my experience.... I've got u lets not make it a big deal,,..MY BAD
 
Back
Top Bottom