Usiku mwema!

Skype

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
7,266
1,631
Najua watu tunatofautiana majukumu ya kikazi. Wengine hutekeleza majukumu yao mchana wengine usiku.
Kwa wale wamalizao majukumu yao mchana nawatakieni usiku mweme ila kwa wale wa usiku nawatakia kazi njema.
Muumba wetu atulinde siku zote za uhai wetu, atupe maisha mema.
Naachia jukwaa kwa muda, nitarudi nikiamka.
Alamsiki!
 
Back
Top Bottom