Usiku mwema wana jf

Afadhali elia umeipenda
Kumbe vitu vingi at first sight huwa vinaonekana vibaya lakini with time vinaonekana vizuri!!
Yeah, its true, Niliona mahali fulani bila kutegemea.. i said wooow! this look familiar to me, then ukawa topic yetu kwa mchana ule...... don't change it
 
Yeah, its true, Niliona mahali fulani bila kutegemea.. i said wooow! this look familiar to me, then ukawa topic yetu kwa mchana ule...... don't change it
Ooh..sijui mlikuwa positively au negatively abt it!
But thanx for compliment!
 
Hajarudi tu?...mpira umeisha mi ndio narudi kwa maamaa! Najua kanuna sana, lakini najua namna ya kumbembeleza!
Hahaha...hauna lolote!!Jiandae kuhesabu mapaa darini.Mi wangu nimemwambia alale huko huko maana sitafungua mlango!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom