Usiku mwema wadau wa MMU, Leo nitaota nipo na mrembo mmoja wa humu, je wamjua ni nan?

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Usiku umefika, kiza kimetanda, kwa kazi ya leo ofisin najihisi mchovu, naitaji kupumzika tayari kwa siku ya kesho. Upweke wanitanda, mwenyewe chumbani, najipa moyo kwa ndoto za usiku. Najiuliza Je ntamwota mrembo gani wa Jamii forums MMU? JE WEWE UTAMWOTA NANI? Nahisi kunabinti nimempenda humu. Anyway G9t wadau!
 
taratibu kiongozi,usijeota mke wa mtu bana..............................
 
Kwahiyo kama unaenda kulala unataka tujue ili?!Na ukimuota yeyote yule hata yeye mwenyewe atasaidika vipi achilia mbali sisi unaotaka tubuni ni nani???!
 
haijalishi ni mwanamke mwenye status gani, bt nitamwota mwanamke wa humu humu MMU tena nimemkumbatia kifuani mwangu, namliwaza nae ananifariji na kunipunguzia uchovu!
 
Mmh! Lizzy keshajitokeza tayari, huyu dada hushinda jamvini kwa kweli, yeye ndoto yake bado bt ipo soon!
 
Mmh! Lizzy keshajitokeza tayari, huyu dada hushinda jamvini kwa kweli, yeye ndoto yake bado bt ipo soon!
Kwahiyo nikishinda inakuwaje?!Na wewe kama hushindi unajuaje mi nashinda?!Mlalaji hawezi kumjua mkeshaji hata siku moja...
 
teh! Umenikumbusha mbali Lizzy, enzi za matani primary school teh!
 
wat the hell z dic post?u had n'thing to post,eh?gudnyt n stop thinking abt women...us girlz of jf are different,ka vp oa rimemba

LOVE LOOKS 4WARD TO GIVE,AND LUST LOOKS 4WARD TO TEK GIRLZ TO BED......READ MY POST ON THE THREAD 'DIFFERENCES BTN MEN N WOMEN' U'LL GET MORE INFO...

GUDNYT,...FROM UR BEST SWEET DREAM!...:glasses-nerdy:
 
Kwahiyo kama unaenda kulala unataka tujue ili?!Na ukimuota yeyote yule hata yeye mwenyewe atasaidika vipi achilia mbali sisi unaotaka tubuni ni nani???!

acha uchokoz bna,mbona husikii we broo?
 
jamani nawatakia usiku mwema, ntakae mwota ntawambia kesho!
 
Back
Top Bottom