Usiku mwema Mpenzi mi nalala

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
Jamani wana jamvi habari za asubuhi?
natumaini hamjambo na mnaendeleza taifa ili tufikie miaka 100 ya uhuru tukiwa angalau mgao wa umeme umepungua ama kufikia siku 2 kwa week ama mwezi.

Leo wakati nakuja ofisini nimekutana na ugomvi mkubwa kwa jirani yetu kisa my waife wake amekuta message asubuhi kwenye simu yake imetumwa kwa msichana na aliyetuma ni mume wake imeandikwa " USIKU MWEMA MPENZI SIMU YANGU IMEISHA CHARGE" mi nikawa namuuliza yule jamaa kama ni kwelui ni mpenzi wake ila kiukweli yule jamaa sio lover wake bali wameishazoeana kuitana mpenzi, sweet na mengine.
Je kama ni wewe ingekuwaje?
 
Kwanza rekebisha sentensi kuhusu mgao wa umeme ndo nitachangia.
 
Tukiwa na miaka 50 ya uhuru huku kwetu mgao ni umeme tunapata siku mbili kwa week 12 hrs sasa tunaomba mungu walau tukipata siku mbili ama tatu 24hrs itasaidia mkuu
 
Jamani wana jamvi habari za asubuhi?
natumaini hamjambo na mnaendeleza taifa ili tufikie miaka 100 ya uhuru tukiwa angalau mgao wa umeme umepungua ama kufikia siku 2 kwa week ama mwezi.

Leo wakati nakuja ofisini nimekutana na ugomvi mkubwa kwa jirani yetu kisa my waife wake amekuta message asubuhi kwenye simu yake imetumwa kwa msichana na aliyetuma ni mume wake imeandikwa " USIKU MWEMA MPENZI SIMU YANGU IMEISHA CHARGE" mi nikawa namuuliza yule jamaa kama ni kwelui ni mpenzi wake ila kiukweli yule jamaa sio lover wake bali wameishazoeana kuitana mpenzi, sweet na mengine.
Je kama ni wewe ingekuwaje?

Mambo ya kuzoea waume za watu haya!!
Haya sasa, unatingisha ndoa ya mtu!!!
Unamtumia smg ya kutamka neno "mpenzi, sweet" sijui nini mume wa mtu?? Eti kwa sababu mmezoeana??
Si wangeoana kabisa basi?
 
Jamani wana jamvi habari za asubuhi?
natumaini hamjambo na mnaendeleza taifa ili tufikie miaka 100 ya uhuru tukiwa angalau mgao wa umeme umepungua ama kufikia siku 2 kwa week ama mwezi.

Leo wakati nakuja ofisini nimekutana na ugomvi mkubwa kwa jirani yetu kisa my waife wake amekuta message asubuhi kwenye simu yake imetumwa kwa msichana na aliyetuma ni mume wake imeandikwa " USIKU MWEMA MPENZI SIMU YANGU IMEISHA CHARGE" mi nikawa namuuliza yule jamaa kama ni kwelui ni mpenzi wake ila kiukweli yule jamaa sio lover wake bali wameishazoeana kuitana mpenzi, sweet na mengine.
Je kama ni wewe ingekuwaje?

Ukweli anaujua huyo aliyepata message..hatuwezi kumuhukumu lakini ..kuna scenario hapa.. Kama haya matani yetu ofisini ..eti mpenzi ndiyo yamefikia huko.. au kama binti alikuwa anam-push jamaa ili ajikomboe kuchumi..basi jamaa atakuwa ameingia kwenye mtego mbaya sana..Yaani jamaa ni 'Innocent..si unajua ni rahisi kuomba msamaha kama kweli hujatenda kosa..lakini je mama ataweza sahau.? Je mama ataweza kukuamini tena? ukweli anaujua mwanaume..

Lakini, kwa upande mwingine kama jamaa yangu ni mkware na malaya..nadhani Mungu amemfunulia huyo mama ili aachane jamaa asije akampa magonjwa..tatizo kama Mama ataliona hilo au atasubiri ufunuo mwingine...
 
hapo kachemsha. hakuna matani ya dizaini hizo ktk maeneo hayo. borderline ya matani na ukweli ktk situation hiyo is very narrow. ni hatari kuyaendekeza manake na ukweli unaweza kuwa umejificha hapo hapo. bora kuyakwepa na kuyaweka mbali iwezekanavyo vinginevyo unakaribisha shari nyumbani
 
Back
Top Bottom